NECTA watangaza matokeo ya kidato cha nne, kidato cha pili na darasa la nne

Bado kuna privacy kwa kidato cha
Hii tabia ya kutangaza matokeo ni moja ya sheria mbaya tulizorithi,wapi ile Protection of personal information ndani ya nchiyetu?kila mtahiniwa awasaliane na shule au kituo chake ili apate matokeo yake,kuyaweka matokeo kwenye hizi social media ni uvunjaji wa sheria.
4, huwezi kuzijua hizo namba mpaka mtahiniwa mwenyewe akupe
 
Hii tabia ya kutangaza matokeo ni moja ya sheria mbaya tulizorithi,wapi ile Protection of personal information ndani ya nchiyetu?kila mtahiniwa awasaliane na shule au kituo chake ili apate matokeo yake,kuyaweka matokeo kwenye hizi social media ni uvunjaji wa sheria.
we jamaa asee
ningekuwa karibu ungekula banzi akili ikukae sawa
 
Matokeo ya form two ni balaa tupu yamechanganywa kama uchafu jalalani hamna mpangilio wa shule unatumia zaidi ya Masaa matatu kupata shule unayoitaka... Tz ya viwonder
 
Matokeo ya form two ni balaa tupu yamechanganywa kama uchafu jalalani hamna mpangilio wa shule unatumia zaidi ya Masaa matatu kupata shule unayoitaka... Tz ya viwonder
Yamepangwa kwa kuangalia namba ya shule so unashuka then unafungua na shule yoyote naangalia namba yake, Kama inakaribiana basi unashuka kidogo chini
 
Professor mmoja mmarekani alikuwa anachukia kweli hii system...basi somo lake usipohudhuria practical na kushiriki project..unatudia mwaka
Basi class tulijaa sana, hakosi mtu, mwisho wa siku unakula pass yako
Jiulize, toka tumeanza ku grade hawa watoto na matokeo, tumepata faida gani ama mtu akipata one ya 7 anakua na mchango gani kwenye nchi hasa kwenye uvumbuzi, ubunifu, utafiti nk.

Mhuu mfumo wa elimu unaua ubunifu, ugunduzi na uvumbuzi.

Dhana ya elimu imepotea kabisa.
 
Ni kweli mkuu, hizi 1.7 hutumika kuvimbia mtaani tu
 
Hata wangebaki nayo hakuna maana bila ku-reform curriculum ni utumbo wa mbwa
Haya yote wanayajua ila sasa wanaona wakifanya reform itakuwa ngumu kutawala watu wanaojielewa,,, ko wanaendeleza huu ujinga makusud
 
Nimeshindwa kabisa kuona matokeo ya form two yaan shule zilivochanganya hadi nachangamyikiwa mtu mmoja anisaidie nimetafuta shule husika hadi vidole vimevimba..
 
Back
Top Bottom