NECTA toeni vyeti mbadala hata kwa vyeti visivyo na picha

man dunga

JF-Expert Member
Oct 13, 2013
3,216
5,566
Habari waungwana.

Moja la sharti la kupata cheti mbadala kutoka NECTA baada ya cha awali kupotea, kuungua n.k ni lazima kiwe na picha. Kwa maana hiyo kwa wale waliohitimu kuanzia 2007 kushuka huwezi pata cheti mbadala maana havina picha.

Nafikiri lengo ni kuzuia udanganyifu ila swali langu ni kwamba vyeti kama cha uraia, mpiga kura, leseni, leaving certificate n.k hawiwezi kumthibitisha muomba cheti mbadala kisicho na picha? Ni kwamba imeshindikana kabisa kumthibitisha muomba cheti mbadala kisicho na picha?
 
Mbona hawana logic kabisa.
Kwa hiyo kama cheti chako hakikua na picha kikipotea na ukienda kuripoti wanakupa nini au wanakusaidiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mbona hawana logic kabisa.
Kwa hiyo kama cheti chako hakikua na picha kikipotea na ukienda kuripoti wanakupa nini au wanakusaidiaje?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wanatoa statement of results na inatumika mara moja . Wanakuambia uwape anuani ambako unataka statement of results iende watatuma wao. Kwa hiyo ukihitaji tena inabidi tena uende ukaombe.
 
Hii ndio ilikuwa miradi ya Serekali kupiga hela,sio kusubiri kubakiza kesi, uwekwe utaratibu nzuri, bei kubwa pia itazuia hata kupoteza kizembe, watu huko nyuma walikuwa hawathamini vyeti hivyo NECTA waione kama fursa.
 
Mkuu kuna NECTA na NACTE

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimechanganya NACTE ya vyuo imekaa kichwani sana, NECTA ya secondary wanazingua sana.

Ukipoteza cheti kuanzia 2007 mpaka 1900 hupewi chochote unambiwa cheti kikihitajika unaenda unapeleka tarifa kinapotakiwa unalipia wao wanatuma taarifa. Ova
 
Wamesha soma posta ngoja wanaandaa majibu

kIongOzI Wa BaaDae
 
Back
Top Bottom