Charles Ignatio
Senior Member
- Oct 9, 2010
- 133
- 52
Hii issue ya matokeo ya kidato cha nne na sita mwaka 2016 na kuendelea kutokuwa hewani shida ni wapi? Admin wa Necta web tunaomba majibu hapa
Sio hayo2 adi ya mwaka Jana hayapo piaHii issue ya matokeo ya kidato cha nne na sita mwaka 2016 na kuendelea kutokuwa hewani shida ni wapi? Admin wa Necta web tunaomba majibu hapa
Kwa hiyo Necta wanatuhujumu?Sio hayo2 adi ya mwaka Jana hayapo pia
Watakuwa na sababu zao ila wataludisha2Kwa hiyo Necta wanatuhujumu?
harafu mtu mmoja huko analipwa kwa ajili kuhakikisha tunapata huduma hii 24/7 yuko kimya hadi sasaMwenyewe nimehangaika toka jana sijui shida ni nini
hatuwezi kukalia jambo moja watu tuna majukumu mengineWatakuwa na sababu zao ila wataludisha2