LTN USU WA MADOSO
JF-Expert Member
- Sep 14, 2016
- 1,193
- 859
Necta kama mmeshindwa kuwabaini watumishi wenye vyeti feki acheni kutusumbua wananchi tutoe taarifa maana sisi huwa hatuna jukumu la kutengeneza vyeti
Mbona taarifa za raia mwema Gwajima hazifanyiwi kazi ?Necta kama mmeshindwa kuwabaini watumishi wenye vyeti feki acheni kutusumbua wananchi tutoe taarifa maana sisi huwa hatuna jukumu la kutengeneza vyeti