Bususwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2021
- 391
- 873
Jana baada ya matokeo ya kidato cha Nne kutangazwa mambo mengi sana yaliibuka! Moja wapo ni pamoja na NECTA kukataa kutangaza shule bora, na wanafunzi bora!
Hili ni jambo la hovyo na la ajabu kweli kweli katika dunia yetu hii ya leo, watu wanaficha nini?? Ili iweje??
Jambo jingine na la hovyo kabisa ni kua na makosa ya kiandishi! Hivi mfano wao wanaandika COMPENTENCY wakati neno sahihi ni Competency!
Mbona wakati wa Dkt Charles Msondo haya mambo hayakuwepo??
Pia inakuaje jinsia ya me asajiriwe kwenye jinsia ya Ke??