Lugazo Aboubakkar
Member
- Dec 9, 2011
- 17
- 0
Necta wana mpango gani na form 4 leavers.
Kama kuna mwenye tetesi kuhusu matokeo yatatoka lini anijulishe basi.
Kama kuna mwenye tetesi kuhusu matokeo yatatoka lini anijulishe basi.
Tuliza mshono mwana, yatatoka tu..Au umechoka kuchunga mbuzi nini?
Waliopata dv 1-3 ni wanafunz 2000,nyie wengne mmezungusha.
Ni kwel uraian kunachosha bora yatoke nafsi ze2 zsuuzke
Hakuna mwaka ambao matokeo yalitoka kabla ya tarehe 10 February luweni na subira
matokeo yamefutwa mnatakiwa mrudie paper.
Nani kaniambia? swali gani hili bwana mdogo? Nimeona miaka yote kwa sababu nilikuwepo, wewe unayesubiri matokeo sas hivi huwezi kujua haya. Siku nyingine jifunze kuuliza vizuri ukitaka kueleweshwa kitunan kakwambia
ewaaaakwahiyo eti tuwe na wadogo zetu form 4 ya 2012
Nani kaniambia? swali gani hili bwana mdogo? Nimeona miaka yote kwa sababu nilikuwepo, wewe unayesubiri matokeo sas hivi huwezi kujua haya. Siku nyingine jifunze kuuliza vizuri ukitaka kueleweshwa kitu