The Sunk Cost Fallacy 2
JF-Expert Member
- Nov 8, 2022
- 7,382
- 8,437
Wakuu habari zenu..
Baraza la Mitihani la Taifa NECTA limesema Limesitisha utaratibu wa Kutangaza Wanafunzi Bora,shule Bora na Mikoa iliyofanya vizuri na vibaya Kwa sababu za kwamba eti kufanya hivyo sio sawa Kwa sababu mazingira hayafanani na pia ni kufanyia matangazo shule..
Binafsi sijaridhishwa Kwa hizo sababu maana naona hazina Tija ila Zina malengo ya chuki Kwa shule binafsi na za dini..
Pia motisha na kujitathmini kutakuaje Kwa watoto na shule au Mikoa husika ikiwa mambo yanaenda kibubh bubu?
Je huu ni msimamo wa serikali au wa Baraza?
Nini maoni Yako Ukiwa kama mdau wa Elimu? 👇