NEC yawarudisha wagombea 6 wa CHADEMA waliokuwa wameenguliwa

real G

JF-Expert Member
Feb 7, 2013
5,227
5,287
Tume ya Taifa ya uchaguzi NEC imekubaliana na rufaa zilizowasilishwa na wagombea 6 wa CHADEMA na hivyo wagombea hao wote walioenguliwa wamerejeshwa katika uchaguzi.

Kadhalika tume hiyo imezikataa rufaa za wagombea wengine 9 wa vyama vingine dhidi ya wagombea wa CHADEMA.
 
Mnaandaliwa kisaikolojia ili muoone haki inatendeka
Subirini ultimate ya huo uchaguzi hao hao mnaowamwagia sifa ndo hao hao wanaweza wakapoka haki yenu.
Mjini akili nguvu kijijini!!!
¥#zambayuayu+zakuambiwa+zakwako!!!
 
Shetani hajawahi kumshinda Mungu , tulianza na Mungu , tutamaliza na Mungu .
 
Mnaandaliwa kisaikolojia ili muoone haki inatendeka
Subirini ultimate ya huo uchaguzi hao hao mnaowamwagia sifa ndo hao hao wanaweza wakapoka haki yenu.
Mjini akili nguvu kijijini!!!
¥#zambayuayu+zakuambiwa+zakwako!!!
....Mnaandaliwa, subirini ....kwani wewe mkorea?
 
Back
Top Bottom