YEHODAYA
JF-Expert Member
- Aug 9, 2015
- 36,911
- 51,889
ok tying error umerekebisha sasa unasemaje kuhusu Mbowe ambaye anasema kaweka mawakala vituo 81,160 unampinga au? yeye naona yuko juu ya hesabu za tume na za kwako.Mumeanza kupingana wenyewe kwa wenyewe?Tume wanasema ni vituo 80,155 na grand total yangu ni ya 80,155 hiyo 81 nimetype kwa makosa. Tume inasema kila kituo kina watu 450-500. Rejea wanachosema na sio utakacho.
tume inasema kituo kisizidi 450 hadi 500 unaelewa maana yake ni hivi mfano kituoni waliojiandisha wako 500 maana yake kituo kimoja kitakuwa na watu 450 kingine kitakuwa na watu 50 au kituo waliojiandikisha wakiwa elfu moja maana yake vituo viwili vitakuwa na watu 450 kila kimoja na cha mwisho kitakuwa na watu 100
au kama kwenye kituo waliojiandikisha wako 70 maana yake hicho kituo kitakuwa na watu sabini hao hao sababu wako chini ya 450
Sio amri kuwa sehemu zote zina evenly distribution ya wapiga kura