Uchaguzi 2020 NEC yashindwa kuzitolea majibu Rufaa 16 za Wagombea udiwani wa CHADEMA Mbeya Mjini, Wananchi watinga kwa DED kuulizia

Msije kushangaa kuwakuta madiwani waliokatwa kwenye karatasi ya kupigia kura ili kujikosha , huku Tume ikijua kwamba wagombea hao hawakufanya kampeni hata mara 1
Hilo siwezi kushangaa. Walishawahi kumchagua Chacha Wangwe akiwa gerezani. Wananchi sio wa mchezo mchezo
 
Kalikuwa kakundi kadogo ka kinamama wameshaondoka!
Tundu hatoboi. Hata zile kura za waumini ambao walimhurumia zimetoweka baada ya kuwa anampigia amstadam kutusemelea watanzania

Sasa ndio atajua watanzania hawapendi kupangiwa😁😁😁
Mapemaaa 28 wajumbe tunafanya yetu
 
Back
Top Bottom