NEC yasema mshindi atatangazwa mshindi

Gor

JF-Expert Member
May 27, 2014
2,791
847
Tume ya taifa ya uchaguzi imeleta mambo mapya yenye kuleta uwazi na ukweli kuliko nyakati zote zilizopita,ndio tunajua kuwa kumbe ile utaratibu wa kusafirisha masanduku ilikuwa kinyume cha sheria!.

NEC ya Jaji Lubuva imetoa agizo kuwa KURA zote zihesabiwe vituoni na matokeo yabandikwe ili mpiga kura wa eneo husika apate matokeo ya uchaguzi aliyoshiriki.

Hongereni sana Tume.Kumbe yule Marehemu Makame alikuwa anatibia?.Moto wa milele auguzwe kama hakutenda haki nyakati zake.
 
Sina hamu na CCM kwa mambo mengii ... ESCROW, EPA, UJANGILI, SEMBE, RICHMOND, MIKATABA YA KIFISADI, KUKWAPULIWA KWA MADINI YETU, GAS ... MAISHA MAGUMU, KODI KUBWA KWENYE MSHAHARA, MISHAHARA DUNI ISIYOKIDHI GHARAMA ZA MAISHA n so much more ...
 
kwa hali hiyo sisi kina gogo la shamba baada ya kupiga kura tutasubiri matokeo yabandikwe ili tuone matokeo ili mradi tuwe ubali wa mita zaidi ya 100, tutaomba ulinzi wa polisi tusinyanyaswe
 
Tume ya taifa ya uchaguzi imeleta mambo mapya yenye kuleta uwazi na ukweli kuliko nyakati zote zilizopita,ndio tunajua kuwa kumbe ile utaratibu wa kusafirisha masanduku ilikuwa kinyume cha sheria!.NEC ya Jji Lubuva imetoa agizo kuwa KURA zote zihesabiwe vituoni na matokeo yabandikwe ili mpiga kura wa eneo husika apate matokeo ya uchaguzi aliyoshiriki.Hongereni sana Tume.Kumbe yule Marehemu Makame alikuwa anatibia?.Moto wa milele auguzwe kama hakutenda haki nyakati zake.
Tunashukuru kwa changes zinazojitokeza lakini kwa hilo la kumuombea Mzee Makame aunguzwe na moto wa milele nadhani hapo umepotoka, usitizame kibanzi katika jicho la mwenzako yawezekana wewe una boriti.
 
Back
Top Bottom