Elections 2010 NEC yakiri ilikosea matokeo ya Geita

Facts1

JF-Expert Member
Dec 23, 2009
307
28
Kiravu akiri NEC ilikosea na sasa matokeo yasomeka kama ifuatavyo

Kikwete 30,960 badala ya kura 17,792 (+13,168)

Slaa 22,036 badala ya kura 3,789 (+18,247)

Utaona Slaa alitaka kudhurumiwa kura 18,247. Je kuna makosa mangapi ya aina hii yamefanyika?
 
Kiravu akiri NEC ilikosea na sasa matokeo yasomeka kama ifuatavyo

Kikwete 30,960

Slaa 22,036
Hapa watu ndio walioanza kushtuka. Na hizo zingine je? Kwa kukiri hivyo matokeo ya kura yanatakiwa yawe nil and void mpaka yathibitiwe tena na chombo huru badala ya nec.
 
changa la macho! Ha2kubali haya matokeo! Wanatangaza yaliyo chakachuliwa, si ya wananchi! Tunasubir Dk atamke tu nasi tuact
 
Kiravu akiri NEC ilikosea na sasa matokeo yasomeka kama ifuatavyo

Kikwete 30,960

Slaa 22,036

AKILI wanazo sana, ila zikizidi ndio hapo mambo yanakwenda ndivyo sivyo.... kwani ndege mjanja unaswa kwenye tundu.......
 
EHboh...!!!@ #*!!?//??:""""&*#@ NEC kwani ukifikia hapo sheria inasemaje
 
mimi nilikwambia ukiona baba analazimisha umwite baba hapo ujue hawajibiki kwenye nafasi yake. Halafu analazimisha kukutawala UDIKITETA Kikwete acha utaumia na familia yako kubali kushindwa
 
Ndio maana Slaa anasema matangazo yasitishwe coz kuna makosa kama haya ambayo yanaashiria kuwa kuna mengine, je tutajueaje kuwa raisi ni wa ukweli kama hatutochunguza zaidi? Ila kuna majuha weeeengiiii tu wanamuona Slaa analeta vurugu. Jamani huyu ni mzalendo and he is doing something for his country. Je wewe utaenda kujibu nini kwa Mungu ukiulizwa uliifanya nini Tanzania?!
 
Hata mimi naona aibu! Je Tanzania nzima ni Dr. Slaa peke yake ndo ana ujasiri na hekima ya kutambua mabaya ila wengine tumekaa tuuuu tunasubiri evidence au 2015 tuje tuchakachuliwe tena???????????? Shame on us!
 
Kiravu akiri NEC ilikosea na sasa matokeo yasomeka kama ifuatavyo

Kikwete 30,960 badala ya kura 17,792 (+13,168)

Slaa 22,036 badala ya kura 3,789 (+18,247)

Utaona Slaa alitaka kudhurumiwa kura 18,247. Je kuna makosa mangapi ya aina hii yamefanyika?

Hakuna kitu mkuu. Hawa wameshaumbuka na sasa ni katika kuficha aibu. Wanajua hizo kura ''walizomuongezea'' Dr. Slaa haziwezi kubadili matokeo ya uRais.
 
Dr. Slaa itisha maandamano Nchi nzima kupinga matokeo bila hivyo hakutakuwepo na somo watakalojifunza. Tunataka Dunia ijue kuwa wamechakachua kama walivyofanya IRAN, KENYA, ZIMBABWE na kwingine kwa madikteta kama hawa, Huu umekuwa utaratibu sasa wa CCM kuchakachua. Kukomesha ni kuingia mtaani.
 
Kiravu akiri NEC ilikosea na sasa matokeo yasomeka kama ifuatavyo

Kikwete 30,960 badala ya kura 17,792 (+13,168)

Slaa 22,036 badala ya kura 3,789 (+18,247)

Utaona Slaa alitaka kudhurumiwa kura 18,247. Je kuna makosa mangapi ya aina hii yamefanyika?

Kikwete pia alikuwa anadhulumiwa 13,168. Au sio?
 
Dr. Slaa itisha maandamano Nchi nzima kupinga matokeo bila hivyo hakutakuwepo na somo watakalojifunza. Tunataka Dunia ijue kuwa wamechakachua kama walivyofanya IRAN, KENYA, ZIMBABWE na kwingine kwa madikteta kama hawa, Huu umekuwa utaratibu sasa wa CCM kuchakachua. Kukomesha ni kuingia mtaani.

wewe si unaropoka tu, kipute cha mtaani kikianza mtaachia wamachinga waandamane na nyinyi mtakuwa mnafuatilia kupitia viblogu vyenu......
 
wewe si unaropoka tu, kipute cha mtaani kikianza mtaachia wamachinga waandamane na nyinyi mtakuwa mnafuatilia kupitia viblogu vyenu......
Nyie wezi ndio mnayaleta yote hayo hata AIBU hamna,na jamani kila kitu anaona ni Slaa tu wengine tunafanya nini?hakika sikukosea kumpa kura yangu Slaa a.k.a Silaha ya maangamizi
 
Watakuwa wamekosea katika majimbo yote, kwa kweli kuna haja ya kusitisha kutangaza matokeo maana makosa kama hayo huenda yapo mengi.
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom