King kingo
JF-Expert Member
- Sep 6, 2010
- 401
- 26
Hivi haw a wan a akili kweli
Mkuu mbona unauliza jibu tena badala ya swali hawa akili wameamua kuzipumzisha nadhani wameziacha kwenye makabati yao nyumbani
Hivi haw a wan a akili kweli
Hata mimi naona aibu! Je Tanzania nzima ni Dr. Slaa peke yake ndo ana ujasiri na hekima ya kutambua mabaya ila wengine tumekaa tuuuu tunasubiri evidence au 2015 tuje tuchakachuliwe tena???????????? Shame on us!
wawe nazo za kazi gani???:smile-big:Hivi haw a wan a akili kweli
Do you know kitu kinaitwa Sensitivity Analysis angalia hii: Kikwete +13,168 Slaa +18,247 kwa hiyo
18,247 - 13,168 = 5,079 umeelewa maana yake? au bado.
Hapa suluisho warudie tu kujumlisha kura zote.Kiravu akiri NEC ilikosea na sasa matokeo yasomeka kama ifuatavyo
Kikwete 30,960 badala ya kura 17,792 (+13,168)
Slaa 22,036 badala ya kura 3,789 (+18,247)
Utaona Slaa alitaka kudhurumiwa kura 18,247. Je kuna makosa mangapi ya aina hii yamefanyika?
Kiravu akiri NEC ilikosea na sasa matokeo yasomeka kama ifuatavyo
Kikwete 30,960 badala ya kura 17,792 (+13,168)
Slaa 22,036 badala ya kura 3,789 (+18,247)
Utaona Slaa alitaka kudhurumiwa kura 18,247. Je kuna makosa mangapi ya aina hii yamefanyika?
<br />AKILI wanazo sana, ila zikizidi ndio hapo mambo yanakwenda ndivyo sivyo.... kwani ndege mjanja unaswa kwenye tundu.......
Hawa NEC wanajichanganya shauri ya kuchanganya majina. Wilaya ya Geita ina majimbo mawili na matokeo yake ni kama hapa chini:
Hilo jimbo la NYANG'HWALE mara wanaliita Geita, nafikiri ndio mwanzo wa kuchanganya.
WILAYA YA GEITA
Jimbo BUSANDA
KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM 33,547
SLAA WILLIBROD PETER CHADEMA 22,260
Jimbo NYANG'HWALE
KIKWETE JAKAYA MRISHO CCM 17,792
SLAA WILLIBROD PETER CHADEMA 3,789
Yeah, na kwa mantiki hiyo unaenendelea kuungana na wengi kwamba NEC imekosea matokeo, bila ya kujali imemfaidisha nani au kumnufaisha naniKikwete pia alikuwa anadhulumiwa 13,168. Au sio?
Kikwete pia alikuwa anadhulumiwa 13,168. Au sio?
sio kwa mungu kwa mwanao au mjukuu wako ukiulizwa umeifanyia nn nchi yako au watu hawana uzazi hivyo hawatarajii kuwa na family?ndio maana slaa anasema matangazo yasitishwe coz kuna makosa kama haya ambayo yanaashiria kuwa kuna mengine, je tutajueaje kuwa raisi ni wa ukweli kama hatutochunguza zaidi? Ila kuna majuha weeeengiiii tu wanamuona slaa analeta vurugu. Jamani huyu ni mzalendo and he is doing something for his country. Je wewe utaenda kujibu nini kwa mungu ukiulizwa uliifanya nini tanzania?!
ndugu usifanye kazi ya kuijibia tume.wilanya ya geita ina majimbo matatu na si mawili kama unavyosema nayo ni geita, nyang'wale na busanda. Matokeo ya ubunge yalitangazwa bila shida yoyote, ya urais kumetokea nini wakati wao wameletewa toka majimboni na wao wanapaswa kutangaza kinachotoka majimboni na si vinginevyo?