Elections 2010 NEC yakiri ilikosea matokeo ya Geita

kwanini nec wanapoteza muda kutangaza matokeo kila jimbo wakati tayari wana mshindi tayari wafanye shortcut wamtangaze kiwete ah samahani nimekosea Kikwete kuwa mshindi yaishe kuliko wanavyojichanganya kuchakachua. Hawajui kwa kufanya hivyo ndio wanachochea vuguru? Kisha wamlaumu Dr. Slaa
 
Uhuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuuwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii
 
wewe si unaropoka tu, kipute cha mtaani kikianza mtaachia wamachinga waandamane na nyinyi mtakuwa mnafuatilia kupitia viblogu vyenu......

Tulia wewe na baba zako mafisadi ebooo???Unaona mnavyofanya ni sawa kabisa??Hivi wewe na wenzako hao mafisadi CCM mnaakili timamu kweli??Hamuoni aibu mbele ya watu??Tutakula sahani moja mwaka huu mpaka kieleweke!! fu*****k CHAMA CHA MAPINDUZI!!
 
Kikwete pia alikuwa anadhulumiwa 13,168. Au sio?

Usichojua ni kwamba huwezi kufoji data bila kukosea. Wanatumia muda mwingi kureconcile data lakini si rahisi kama unavyofikiri. Kutakuwepo anomalies kibao! Hakuna anayependa JK apoteze hata kura moja vivyo hivyo isipotee hata kura 1 ya Dr Slaa halafu watu tujue nani kavuna nini. Sasa matokeo ya kupanga JK apate 65% hayana radha na wala hatayafurahia zaidi zaidi laana!
 
kwanini nec wanapoteza muda kutangaza matokeo kila jimbo wakati tayari wana mshindi tayari wafanye shortcut wamtangaze kiwete ah samahani nimekosea Kikwete kuwa mshindi yaishe kuliko wanavyojichanganya kuchakachua. Hawajui kwa kufanya hivyo ndio wanachochea vuguru? Kisha wamlaumu Dr. Slaa
Ndio wanachotaka VURUGU.
 
Kitila-poleni na mahangaiko, dont give up men, these are clear good signs, at the same a shame to the president and his team. Mkubwa huwa hasemi kashindwa lakini ukimwangalia usoni unamwona kabisa anakupa message ameshwindwa, this is what i see kwa Kikwete na Timu yake. Shame on them
 
Was****ge sana hawa NEC toka lini matokeo yanachukua week nzima wakati kila kitu kinajulikana na vilishahesabiwa???Brazil siku moja matokeo yametoka wenyewe one week...bababaee jamani hawa watu natamani hapo kwenye kikao nikamkate vibao huyo mkubwa wao anajiona mzee hafanyi makosa.......
 
..........kwa kweli hawa NEC wanajiaibisha sana na huyo Kikwete wao wanayetaka kumbeba.
 
Was****ge sana hawa NEC toka lini matokeo yanachukua week nzima wakati kila kitu kinajulikana na vilishahesabiwa???Brazil siku moja matokeo yametoka wenyewe one week...bababaee jamani hawa watu natamani hapo kwenye kikao nikamkate vibao huyo mkubwa wao anajiona mzee hafanyi makosa.......
Kwa kweli inasikitisha sana mambo yanayofanywa na hawa NEC, lakini ipo tu siku yao.....
 
Kwa kweli inasikitisha sana mambo yanayofanywa na hawa NEC, lakini ipo tu siku yao.....

Mkuu inauma sana zaidi wanatufanya sisi wote hatuna akili na ni watoto pia......Si unaona kama ni upuuzi kwanza tukiwauliza swali zaidi nini kinawafanya wasitangaze matokeo mpaka leo??kila siku wanatangaza kidogo kidogo kwa nini sheria isichukue mkondo wake wenyewe wanafanya nchi kama za babu zao plus mamamamaaeee zao???hawa watu tusubiri tu na tutakutana nao mitaani tu ndio wataelewa vizuri!
 
Kikwete pia alikuwa anadhulumiwa 13,168. Au sio?
Do you know kitu kinaitwa Sensitivity Analysis angalia hii: Kikwete +13,168 Slaa +18,247 kwa hiyo
18,247 - 13,168 = 5,079 umeelewa maana yake? au bado.
 
Unbelievable!! This is more than sheer incompetence.

Kitila, hawa siyo size ya CDM kabisa.
Ni kufuatilia na kupambana na hawa wapuuzi; hakuna kukata tamaa mpaka kieleweke kwani hadi sasa washirika wote kwenye huu uovu wamekwisha changanyikiwa kabisa baada kuumbuliwa waziwazi..kilichobaki ni kuwamaliza tuu!!
Viva CDM!!
 
Huu ni uzembe , huwezi kujifanya eti umechanganya nini, matokeo ya majimbo mawili tofauti huu ni unafiki na uongo mkubwa, so if dr asingegundua INGEKUWAJE?
 
Hapa watu ndio walioanza kushtuka. Na hizo zingine je? Kwa kukiri hivyo matokeo ya kura yanatakiwa yawe nil and void mpaka yathibitiwe tena na chombo huru badala ya nec.

Na wewe sema null and void basi!!! Kura zote za Dr. Slaa na Kiwete zirudiwe kwa kweli wizi mtupu!! Eti CCM wameshinda mmeshinda kitu gani bwana!!!!!!
 
Rajabu kiravu ana kibri na jeuri sana, ana mawazo mgando kwamba sisi watanzania ni wajinga kama yeye. anasema tusikubali kwamba tumeibiwa wakati ni wazi wameiba hovyooo
 
Back
Top Bottom