Elections 2010 Nec yakimbia Jimbo la Kawe

KakaKiiza

JF-Expert Member
Feb 16, 2010
11,578
8,597
Tume ya uchaguzi imepatwa kigugumizi wamekimbia katika kituo cha kuhesabia oysterbay na hawataki kutoa majibu mpaka hivi sasa ni saa 5 usiku nec wameingia mitini kinachoonekana wanataka kuchakachua kura!!
 
ivi JK atajibu nini?na kwanini watu wasimchukie kwa namna hii
hawa polisi wetu izi kazi zao?ni hasara tu
 
wamekimbia na mabox ya kura?
Wamekimbia wote hakuna watu wakuulizwa habari za kura nikiwa na maana wasimamizi wote hawapo katika kituo chanoysterbay ambapo ndo kituo kikuu cha kukusanyia kura za jimbo la kawe!kifupi hawatakikutangaza matokeo na hawaonekani na watu wamekusanyika hapo obey shule kutoka kawe nzima hapatoshi mdee ndani!!
 
hii inastaajabisha inapotokea upunzani kuchukua wanakuwa wanpata kigugumizi kutangaza, wanawinda wakipata mwanya tu wanaiba, watu msiondoke, arusha, mza, mbeya, kishaeleweka, wajinga ndo wanaoliwa tena mwaka huu kibao wameibiwa kudadadeki
 
Powa ilmradi hawajaondoka na mabox, asiondoke mtu hapo mpaka kieleweke maana wanategea watu wachoke waondoke ili waje na mabox yao yaliochakachuliwa ............:A S angry:
 
this is very discouraging.. kwa nini wasiache demokrasia ichukue mkondo wake
 
this is very discouraging.. kwa nini wasiache demokrasia ichukue mkondo wake

waache wachakachue kawe maskani kwa kambi za JWTZ lugalo na makao makuu ya JKT mlalakuwa. tusubiri tuone kama ma afande nao watakubali kuchakachuliwa
 
Powa ilmradi hawajaondoka na mabox, asiondoke mtu hapo mpaka kieleweke maana wanategea watu wachoke waondoke ili waje na mabox yao yaliochakachuliwa ............:A S angry:

yaani wasiondoke kabisa hapo wakomae bila fujo ila wasiruhusu chochote cha ajabu kuingia wala kutoka umo ndani...asa mwanza did!!
 
hii inastaajabisha inapotokea upunzani kuchukua wanakuwa wanpata kigugumizi kutangaza, wanawinda wakipata mwanya tu wanaiba, watu msiondoke, arusha, mza, mbeya, kishaeleweka, wajinga ndo wanaoliwa tena mwaka huu kibao wameibiwa kudadadeki

Wanaogopa makao makuu ya nchi kutawaliwa na CHADEMA. wataleta babadiliko bila ya matakwa yao. Hata hivyo, Nguvu ya Umma haishindwi.
 
Hapo kawe mshindi anajulikana ni nani, haki ya mtu siku zote haipotei subiri waone
 
Leo asubuhi mbona baadhi ya magazeti yanadai Mdee wa Chadema ameibuka kidedea.alitangazwa lini?
 
tume ya uchaguzi imepatwa kigugumizi wamekimbia katika kituo cha kuhesabia oysterbay na hawataki kutoa majibu mpaka hivi sasa ni saa 5 usiku nec wameingia mitini kinachoonekana wanataka kuchakachua kura!!

rajabu kiravu tulimfungia huku loyola kutokea muda huo hadi asubuhi hii, akitoka hapa anakuja huko na wanapeoples power wote wanahamia huko halafu segerea!!!!!!!!!!!!!!!
 
jimbo la kawe ndio watu wengi wenye kipato cha juu na viongozi wa serikali wanakaaa
ni aibu kubwa sana hili jimbo kwenda upinzani na hichi ni kielelezo tosha kuwa watu wameichoka ccm
 
Mtanzania 2/11/2010 gazeti la Rostam Azziz ukurasa wa mbele waonesha Halima Mdee, Jimbo la Kawe apeta.
 
jimbo la kawe ndio watu wengi wenye kipato cha juu na viongozi wa serikali wanakaaa
ni aibu kubwa sana hili jimbo kwenda upinzani na hichi ni kielelezo tosha kuwa watu wameichoka ccm

Moeneo yote ccm ilikopoteza tume pamoja na wasimamizi wake wamekua na kigugumizi cha kutangaza matokeo!
 
Back
Top Bottom