Rutashubanyuma
JF-Expert Member
- Sep 24, 2010
- 219,468
- 911,181
Nimepitia gazeti la Mwananchi la leo na nikabaini ya kuwa kumbe NEC wamesema JK alishinda kila Mkoa wa bara na Lipumba kushinda jumla kuu ya Zanzibar...................Zanzibar Prof. Lipumba kura 251, 646 na Jk kura 77, 671......na hili linaniongezea wasiwasi kama kweli Dr. Shein alimshinda Maalim Seif wa CUF.....................................
NEC hao hao wanadai ya kuwa na kumaanisha Dr. Slaa hakuna mkoa hata mmoja aliouongoza jambo ambalo ninaliona lina hitilafu kubwa sana.......huu sasa ndiyo uzushi mtupu kutoka NEC..........kwa mawazo yangu haya ni matunda ya uchakachuaji ambao haukupata darasa stahiki....................mjanja huuma na kupulizia lakini NEC na Idara ya usalama ya Taifa wao waking'ata hakuna kupulizia........................................................
Ikumbukwe Idara ya Usalama wa Taifa ambao baada ya matokeo ya uchakachuaji wa kura kuanza kuhojiwa na Dr. Slaa waliruka na kudai hawahusiki sasa sijui walikuwa vituoni na makao makuu ya Halmashauri za wilaya na Manispaa sijui wakifanya nini.............kama siyo kuchakachua matokeo ya kura..........
SOURCE: MWANANCHI ukurasa wa 1-4 toleo maalumu la matokeo ya uchaguzi.........Angalizo langu binafsi unapozisoma takwimu za kwenye gazeti hilo uwe mwangalifu kwa sababu baadhi ya kura zilizomo humo hata mimi ninazitilia mashaka si ya uchakachuaji tu bali hata kuna makosa ya kuchapisha .........Kwa mfano Mkoa wa Manyara jimbo la Karatu halipo huko bali limehamishiwa Mkoa wa Arusha na matokeo yake ni aibu tu kwa NEC au kwa Mwananchi waliotoa nakala hii kwenye gazeti lao................
JK kaandikiwa kura ........24, 382 au 98.1% na Dr. Slaa kura 41 au 0.2%...........ninahisi kuna "typographical error" lakini kama hakuna basi hiyo ni kashfa nyingine kwwa NEC kuwa Dr. Slaa hata jimboni kwake Karatu alipata kura 41 tu..............hakuna mtanzania anayeweza kuamini hayo majitaka.............................