NEC ya CCM msiwachagulie Watanzania Rais, vinginevyo JK hatutamtambua kabisa


W

Watanzania

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2009
Messages
727
Likes
3
Points
0
W

Watanzania

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2009
727 3 0
NEC ya CCM ambayo inajiita NEC ya uchaguzi, msituchagulie watanzania Rais, tunajua watanzania wamemchagua Dr. Slaa kuwa Rais wao. Mkilazimisha kumtangangaza JK, huyo atakuwa Rais wenu NEC, hatutamtambua. Rais wa Watanzania ni Dr. Slaa.
 

Forum statistics

Threads 1,236,502
Members 475,174
Posts 29,259,968