Nec watoe maelekezo juu ya kupiga kura nje ya kituo ulichojiandikisha. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nec watoe maelekezo juu ya kupiga kura nje ya kituo ulichojiandikisha.

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by omuhabhe, Oct 22, 2010.

 1. o

  omuhabhe Member

  #1
  Oct 22, 2010
  Joined: Sep 27, 2007
  Messages: 35
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kama Mtanzania mwingine ambaye sijapata uelewa mzuri juu ya kupiga kura kwa Rais kama niko nje ya kituo nilichojiandikisha kwa sababu mbalimbali zikiwemo za kuuguza wapendwa wetu mahospitalini.
  kumekuwa na mabishano kwa wadau mbalimbali kuwa unapiga kura na wengine wanasema hutapiga
  kura hebu NEC yetu weka mambo hayo clear.
  Kwani sehemu yoyote ile ndani ya mipaka ya TZ ni jimbo la mgombea Urais SAWASAWA.
   
Loading...