silver25
JF-Expert Member
- Jul 29, 2010
- 743
- 44
Mkurugenz wa NEC amekubali mwenyewe kwamba shughuli ya uchaguzi ya mwaka huu wamechemka,, Habari za uhakika zinatoka kwenye Gazeti letu la the Citizen leo zina sema Mkurugenzi Rajabu Kiravu leo ameongea bila aibu kuwa wamechemka matokeao ya Nyangwale na Geita
Geita pekeyake walimnyongea Slaa kura na kumtangazia amepata kura 3,789 wakati kura halali alizopata ni 22,036,,
Wakati huohuo wakamuongezea Kikwete muajiriwa wao kura 13,168 na kupata kura 30,960 wakati alipata kura 17,789...
Sasa majimbo haya mawakala wake walikuwa wakali kidogo wakaenda kufichua siri,, nauliza Je? majimbo mengine ambayo hatuwezi kuyataja si wamechakachua sana?