Elections 2010 NEC wakubali kuboronga Matokeo ya uchaguzi Source the Citizens, 5 nov 2010

silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Mkurugenz wa NEC amekubali mwenyewe kwamba shughuli ya uchaguzi ya mwaka huu wamechemka,, Habari za uhakika zinatoka kwenye Gazeti letu la the Citizen leo zina sema Mkurugenzi Rajabu Kiravu leo ameongea bila aibu kuwa wamechemka matokeao ya Nyangwale na Geita

Geita pekeyake walimnyongea Slaa kura na kumtangazia amepata kura 3,789 wakati kura halali alizopata ni 22,036,,
Wakati huohuo wakamuongezea Kikwete muajiriwa wao kura 13,168 na kupata kura 30,960 wakati alipata kura 17,789...

Sasa majimbo haya mawakala wake walikuwa wakali kidogo wakaenda kufichua siri,, nauliza Je? majimbo mengine ambayo hatuwezi kuyataja si wamechakachua sana?
 
silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Oooh NEC naomba mutuweke wazi kwanini majimbo mengine mulikuwa munayachelewesha?
 
NATA

JF-Expert Member
May 10, 2007
4,509
1,310
mkurugenz wa nec amekubali mwenyewe kwamba shughuli ya uchaguzi ya mwaka huu wamechemka,, habari za uhakika zinatoka kwenye gazeti letu la the citizen leo zina sema mkurugenzi rajabu kiravu leo ameongea bila aibu kuwa wamechemka matokeao ya nyangwale na geita

geita pekeyake walimnyongea slaa kura na kumtangazia amepata kura 3,789 wakati kura halali alizopata ni 22,036,,
wakati huohuo wakamuongezea kikwete muajiriwa wao kura 13,168 na kupata kura 30,960 wakati alipata kura 17,789...

Sasa majimbo haya mawakala wake walikuwa wakali kidogo wakaenda kufichua siri,, nauliza je? Majimbo mengine ambayo hatuwezi kuyataja si wamechakachua sana?
hee sheshe!
 
Chamkoroma

Senior Member
Sep 6, 2010
186
11
Nchi yetu Tanzania hatuju lini tutawachinjia baharini hawa wakina Bob Mgabe wa ubabe, nchi inachukuliwa na watu watanashati kumbe ni mazimwi ndani yao,hata wa vicent anataka awe spika ili aliburuze bunge lijalo namwomba Mungu aone kilichochema kwake atusaidie, kwani kisasi ni kwake Mungu wetu.
 
silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Hawa jamaa mi naona tukiwachinjia Baharini tutakuwa tumewaonea kabisa ni Bora tuende kwenye machinjio ya ng'ome ilikieleweke kabisaaa
 
Victory 1

Member
Nov 3, 2010
21
0
Mkurugenz wa NEC amekubali mwenyewe kwamba shughuli ya uchaguzi ya mwaka huu wamechemka,, Habari za uhakika zinatoka kwenye Gazeti letu la the Citizen leo zina sema Mkurugenzi Rajabu Kiravu leo ameongea bila aibu kuwa wamechemka matokeao ya Nyangwale na Geita

Geita pekeyake walimnyongea Slaa kura na kumtangazia amepata kura 3,789 wakati kura halali alizopata ni 22,036,,
Wakati huohuo wakamuongezea Kikwete muajiriwa wao kura 13,168 na kupata kura 30,960 wakati alipata kura 17,789...

Sasa majimbo haya mawakala wake walikuwa wakali kidogo wakaenda kufichua siri,, nauliza Je? majimbo mengine ambayo hatuwezi kuyataja si wamechakachua sana?
Hili amelikubali huku akijua fika jana alikuwa anatugombeza kama watu tusio na akili wala uelewa. Kumbe likiwekwa mojamoja mbele yao ndo wanakubali wamekosa siyo!!!
 
silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Ukiona mtumzima anaumbuka ndiy o hapo,, wameletewa Data wanabaki wanasakiziana mara huu mara Kiravu wamezidi uchakachuzi hawa wachakachuaji wakubwa sana hawa.. wanachakachua mpaka wanazidisha tunawashitukia ndio maana hatuyakubali matokeo yao..
 
Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
220,713
728,539
Kiongozi yeyote aliyeingia madarakani kwa dhuluma usimtegemee hata siku moja kuondoa dhuluma ndani ya raia anaowaongoza...........dhuluma ni mtaji wake wa kuendelea kukaa madarakani sasa atawezaje kuondoa rushwa na udhalimu mwingine ambao ndiyo umempa ulaji......................
 
silver25

JF-Expert Member
Jul 29, 2010
743
44
Ujue nini Dhuluma itatolewa kwa aibu kwakuwa Sasa tunaamiini kuna watu ambao wanatuwakilisha wapo strong labda watusaliti.. wata waumbua tu na itawapasa kubadilika..
 
Similar Discussions

0 Reactions
Reply
Top Bottom