NEC wajadili kuwavua uanachama wa CCM Lowassa, Rostam na Chenge | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEC wajadili kuwavua uanachama wa CCM Lowassa, Rostam na Chenge

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Fareed, Apr 11, 2011.

 1. F

  Fareed JF-Expert Member

  #1
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Asalaam aleykum,

  Habari kutoka Dodoma ni kuwa wajumbe wa NEC sasa wanajadili hoja ya kuwavua uanachama Edward Lowassa, Rostam Aziz na Andrew Chenge kwa kuwa tuhuma nzito za rushwa dhidi yao zimewafanya Watanzania wengi kuichukia CCM na kukiona chama hiki kuwa kinakumbatia mafisadi.

  Hivyo basi baada ya mafisadi hawa kuenguliwa kwenye Kamati Kuu na NEC, hoja iliyopo sasa ni kuwavua kabisa uanachama wa CCM ili watimuliwe na kuukosa ubunge.

  Mjadala ni mkali, baadhi ya wajumbe wanasema kuwa adhabu ya kuwatoa Kamati Kuu na NEC inawatosha. Wengine wanasema hawa watu ni sumu na doa la kudumu kwa CCM, wakibaki kwenye chama CHADEMA wataendelea kukisumbua CCM.

  Kama ilivyoripotiwa na MwanaKijiji -- Wilson Mkama (Katibu Mkuu), John Chiligati (naibu KM bara), Vuai A. Vuai (naibu KM Z'bar), Nape (Katibu mwenezi), Mwigulu (Mweka Hazina) na January Makamba (mambo ya nje).

  Miaka yote cheo cha katibu wa CCM mambo ya nje huwa kinashikwa na Waziri wa Mambo ya Nje. Hata Kikwete alipokuwa waziri wa mambo ya nje alishika nafasi hiyo.

  Bado kuna utata kwa nini Bernard Membe ametolewa kwenye nafasi hiyo na amepewa mtoto wa Katibu Mkuu aliyefukuzwa, Yusuf Makamba.

  Kuwekwa kwa January Makamba kwenye Sekretariat ya CCM kumeleta manung'uniko kuwa bado kuna kubebwa kwa watoto wa vigogo ndani ya CCM.
   
 2. Albedo

  Albedo JF-Expert Member

  #2
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 24, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  Hawawezi, RA ameajiri Ukoo Mzima wa Makamba pale Voda
   
 3. T

  Tujisenti JF-Expert Member

  #3
  Apr 11, 2011
  Joined: May 21, 2008
  Messages: 330
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  HMMMMMMMMMMMMMMMMMMmmmmmmmmmmmmmmm haya tusubiri kamati kuu mafisadi wametoka lakini waliongia hakuna jipya
   
 4. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #4
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  unajua mambo mengine ni uongo sana bana ..kwani CCM inachukiwa kwa ajili ya hao watu watatu???nyie vipi bana...hela ya EPA ndo imemuweka JK madarakani mbona hazungumzii kuondolewa...mi ngoja nilale tu bana hapa tunapeana pressure tu
   
 5. Mahesabu

  Mahesabu JF-Expert Member

  #5
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 27, 2008
  Messages: 5,043
  Likes Received: 666
  Trophy Points: 280
  LISILOWEZEKANA LINAENDA KUWEZEKANA.....! lets wait and seee
   
 6. F

  Fareed JF-Expert Member

  #6
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 13, 2010
  Messages: 328
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Just in: William Lukuvi, Stephen Wassira, January Makamba, Mzee Peter Kisumo wateuliwa Kamati Kuu

  NEC: Anna Abdallah, Emmanuel Nchimbi, January Makamba, Peter Kisumo wateuliwa wajumbe wa NEC
   
 7. POMPO

  POMPO JF-Expert Member

  #7
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 12, 2011
  Messages: 6,694
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha ha watafukuza vp uwanachama wakati ndio wanawadhamini NEC na ****** hakuhoi kwa hao jamaa, it can be... RA na EL ndio virus na ccm haina ant virus kazi ipo jombaa.
   
 8. T

  TULIBAHA Member

  #8
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 23, 2011
  Messages: 49
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Mambo mengi machafu wanayo kama wanaweze wafute tu hichi chama coz kukisafisha haiwezekani. Ccm ifutwe coz yote chafu
   
 9. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #9
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Haya hilo ndo gamba na yeye akiwemo
   
 10. Elli

  Elli JF-Expert Member

  #10
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 26,821
  Likes Received: 10,117
  Trophy Points: 280
  Mmmhhhh haya
   
 11. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #11
  Apr 11, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  huyu kisumo si ndo alikuwa anawapiga mawe sana CCM huyu..ila 2015 CCM chaliii wanatakiwa kuwa makini sana na haya mambo yao ya kujivua gamba....hata kama ni timu ya mpira huwezikufanya sabuu za hivimaana timu inapoteza fomesheni
   
 12. NewDawnTz

  NewDawnTz JF-Expert Member

  #12
  Apr 11, 2011
  Joined: Nov 15, 2010
  Messages: 1,675
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ila CHADEMA kazi kweli kweli................hivi kwa nini hawasemi wakiahcwa CUF watapata agenda?

  Hakika CDM mnastahili pongezi za kipekee kwa kumfanya alielala usingizi wa pono kuamka japo anaonekana kufanya kazi na matongotongo ya usingizini bado

  Kumvua Lowassa, eti na RA?? Mmmh!! hebu tuone, na sijui watavua wangapi maana sidhani hao wana-exhost ile list of shame...wako wengi
   
 13. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #13
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Kikwete ananyooshea wengine kidole ilhali vinne vinmshitaki yeye mwenye kama FISADI namba moja na gamba gumu la mamba lisilovuka labda kwa kuchoma motoni (kutoswa CCM).
  Ni Tanzania ndo inahitaji kujivua gamba ambalo ni Kikwete na CCM yake.
   
 14. nyumba kubwa

  nyumba kubwa JF-Expert Member

  #14
  Apr 11, 2011
  Joined: Oct 8, 2010
  Messages: 10,278
  Likes Received: 1,716
  Trophy Points: 280
  kazi kweli kweli
   
 15. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #15
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Usishangae kuona maharage yanaangaika na kuruka ruka kwenye sufuria, ndo ishara ya kuelekea kuiva. Wamekwisha hao, wanaowatoa wataenda kuanzisha mabalaa mengine, Mark my words.
   
 16. Sigma

  Sigma JF-Expert Member

  #16
  Apr 11, 2011
  Joined: Feb 26, 2011
  Messages: 5,015
  Likes Received: 14
  Trophy Points: 135
  Usiku mwema. Sweet dreams!

  Ushaamka? Utalalaje ilhali mafisadi wanapanga safu ya kuimaliza TZ. Kudos!
   
 17. Jean chill

  Jean chill Member

  #17
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 8, 2011
  Messages: 69
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 15
  Magamba ni akina nani sasa!? Je waliobaki nao? Au makokwa?
   
 18. Kimilidzo

  Kimilidzo JF-Expert Member

  #18
  Apr 11, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 1,346
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 135
  CCM inachukiwa kwa ajili ya watu hao watatu. Kama kuna wengine unajua wanasababisha nyinyiemu kuchukiwa tujuze basi...
   
 19. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #19
  Apr 11, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
   
 20. h

  hurdson New Member

  #20
  Apr 11, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm itafika mbali sana chadema hawana lao tena kwaheri chademaaaaaaaaaaa,,aibu imewapata
   
Loading...