Fundi Mchundo
Platinum Member
- Nov 9, 2007
- 8,940
- 6,854
Hauoni hapo chini kuwa naitwa Fundi Utumbo?Hiyo lugha tu ni kiashiria cha mtu mbabaishaji
Amandla...
Hauoni hapo chini kuwa naitwa Fundi Utumbo?Hiyo lugha tu ni kiashiria cha mtu mbabaishaji
Mfano wako mzuri sana. Nchi zilizoendelea mwalimu anahakikisha wanafunzi wana vifaa vya kuandikia. Na anakueleza mahitaji ya swali kwa sababu lengo la mtihani sio kukufelisha bali kupima uelewa wako.Yaani uingie kwenye chumba cha mtihani halafu utake msimizi wa mitihani akusomee na kutafasiri mahitaji ya swali.Wewe hutakiwi hata kujipigia kura mwenyewe, unastahiri kupata ZERO
Wangekuwa vichaa, hata kuwaelekeza ingekuwa bure. Tatizo la hali iliyopo ni kuwa inatoa nafasi kwa wasimamizi kuwasaidia tu wale wanaowapenda na hata kwa baadhi kuingiza dosari ( herufi katika jina) katika fomu ya yule wasiemtaka. Hii inawezekana isiwe kweli lakini ndivyo watu watakavyoamini hasa inapotokea kuwa ni wagombea wa vyama fulani tu ndio wanaokosea.Kwani Kuna wagombea vichaa?
Kama mgombea kiti cha urais hawezi kujaza fomu kwa usahihi, hafai
Nani atakuruhusu kupiga picha fomu yako? Ingekuwa vyema kama msimamizi angekuwa anasaini nakala ya fomu iliyowasilishwa kuthibitisha kuwa amepokea.Naam! Ni sahivi kutoa copy, au ku-scan fomu iliyojazwa kabla ya kuirudisha ili kubaki na nakala ngumu/ na laini kwa ajili ya kuja kuwaumbua mawakala wa shetani waliohujumu wagombea wa upinzani mwaka 2019 katika uchaguzi wa serikali za mitaa.
Ni vyema pia kuweka ushahidi wa video wa makabidhiano ya fomu, maana mawakala wa shetani wameshapokea maelekezo wazichome fomu waseme hawajapokea, mwaka huu tutaenda sambasamba mpaka home "nait kali" tutawazukia ikibidi
Hawa washenz wa akili hawawez kukuelewaMfano wako mzuri sana. Nchi zilizoendelea mwalimu anahakikisha wanafunzi wana vifaa vya kuandikia. Na anakueleza mahitaji ya swali kwa sababu lengo la mtihani sio kukufelisha bali kupima uelewa wako. Ndio maana mara nyingi unaruhusiwa kuingia na vitabu na calculator kwenye mtihani. Kwenye uchaguzi hatutafuti bingwa wa kujaza fomu bali mtu ambae wananchi wataona anafaa kuwawakilisha na kuwapigania. Kumtoa mgombea kwa sababu ameandika Fundi Mchundo badala ya F Mchundo sio haki.
Amandla...
Tume ipo sahihi sema kuna wagombea husubiri siku ya mwisho ndio wanarudisha fomu. Tabia hiyo ibadilike.Tume makini ingesema kuwa wagombea wanaweza kupata ushauri kutoka kwa Tume kuhusu ukamilifu wa fomu zao. Ili kulinda demokrasia, ni wajibu wa Tume kuhakikisha wagombea wengi iwezekanavyo wanapata fursa ya kugombea. Ningetegemea msimamizi anapo pokea fomu aipitie pamoja na mgombea na kumpa nafasi ya kusahihisha dosari zozote zinazoonekana kabla ya dirisha kufungwa.
Lugha za tusilaumiane hazipendenezi.
Amandla....
Hahahaaaaaaaa kukosea ndio moja ya kuonesha huwezi kazi.Yaani uingie kwenye chumba cha mtihani halafu utake msimizi wa mitihani akusomee na kutafasiri mahitaji ya swali.Wewe hutakiwi hata kujipigia kura mwenyewe, unastahiri kupata ZERO
Hata wakirudisha mapema wasimamizi wengi hawana msaada kwa mgombea wasiemtaka.Tume ipo sahihi sema kuna wagombea husubiri siku ya mwisho ndio wanarudisha fomu. Tabia hiyo ibadilike.