NEC VS Wananchi: Oktoba 2010 | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEC VS Wananchi: Oktoba 2010

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Gurtu, Nov 7, 2010.

 1. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #1
  Nov 7, 2010
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Oktoba 31, 2010 kulifayika uchaguzi Tanzania. Matokeo ya uchaguzi yametoa yafuatayo:
  1. Matokeo ya kura za wananchi dhidi ya kura za NEC.
  2. Wagombea waliochaguliwa na Wananchi na wagombea waliochaguliwa na NEC.

  Matokeo ya hayo yote ni mshangao wa kile kilichokuwa`kikitangazwa`na`NEC na katika maeneo mengine wananchi waliwashinikiza`Wasimamizi wa NEC kutangaza matokeo ya kura zao siyo zile za NEC
   
 2. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #2
  Nov 18, 2010
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,607
  Likes Received: 3,909
  Trophy Points: 280
  Was it the first time for NEC kuchakachua, au mliingia kwenye uchaguzi mkijua NEC ni fair? people have been crying for ages in almost all past multparty elections! leo unalalamika NEC what an historical shame on us??

  wewe msikie Slaa na team yake mpaka mtakapokuja kujua hawa ni maslahi mbele ndiyo mtajua kuwa kumbe hatuna na tulikuwa hatuna wapinzani! leo wanasema watadai tume huru ya uchaguzi, poor Tanzanians! wasted effort again in 2010!!!
   
 3. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Wizi wa kura uliofanywa na NEC ni suala zito mno. Ina maana JK na wabunge wengi wa CCM hawakuchaguliwa na wananchi. Hii ni kinyume cha katiba ambayo iko wazi kuwa madaraka yote katika nchi yetu msingi wake ni wananchi. Walichofanya NEC , JK na CCM ni Udikiteta au kupindua serikali ambayo wapiga kura wameichangua. Wananchi hatunabudi kuendelea kuwakataa waziwazi wezi wa kura zetu na kurudisha madaraka ya nchi mikononi mwa wananchi siyo NEC, CCM wala JK.
   
 4. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Ni wageni tu watakaoshangaa comments zako.
   
 5. Kalunguine

  Kalunguine JF-Expert Member

  #5
  Nov 18, 2010
  Joined: Jul 27, 2010
  Messages: 2,544
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Huyo Waberoya namshangaa, kinachoongelewa hapa ni wananchi kuchaguliwa viongozi na NEC, yeye sijui analeta story gani.
   
 6. k

  kukubata Member

  #6
  Nov 20, 2010
  Joined: Oct 9, 2010
  Messages: 69
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  ccm + nec+ jk = uchakachuaji
   
Loading...