NEC: Unganisheni RATIBA yenu na ya mama Salma | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEC: Unganisheni RATIBA yenu na ya mama Salma

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by Luteni, Sep 14, 2010.

 1. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #1
  Sep 14, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Hii ni mara ya pili Mama Salma Kikwete anaingilia mikutano(msafara) wa mgombea urais wa Chadema Dr. Slaa.

  Mara ya kwanza ni wakati ratiba ya mikutano ya Slaa ilikuwa inaonyesha angekuwa Mbulu mjini siku hiyo karibu vurugu zitokee kwa kugombea uwanja. Safari hii makundi hayo yote yamekutana mkoani Mara sehemu ya Mwibara. Mara ya tatu nafikiri ngumi zinaweza kutokea.

  Je ina maana Mama Kikwete hana ratiba ya mikutano iliyotolewa na NEC, kama anayo kwanini amepanga kila unapokuwa msafara wa Slaa na yeye yupo. Ni nani basi anayeingilia ratiba ya mwingine, nasema hivi kwa sababu kuna siku fujo zinaweza kutokea kama ilivyokuwa Mbulu mjini.

  Kama ratiba ya NEC inajulikana na Tanzania ni kubwa kwanini basi makundi hayo yasipangwe sehemu tofauti. Kama haiwezekani kuyatofautisha naomba NEC iingize ratiba ya safari za Salma kwenye ratiba yao ya kampeni za vyama na WAMA kiwe kama chama cha siasa ili kuepusha mwingiliano na vyama vingine, wakati mwingine inakera.
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Sep 14, 2010
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ngumi zitakapooigwa ndo watajua, mke wa rais anarudi akiwa hana PUA
   
 3. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #3
  Sep 14, 2010
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Huu ni uchokozi wa wazi dhidi ya Dr. Slaa na kampeni zake halali..tired with this country..yaani kila kitu ni shagalabagala, hatuna utaratibu unaoeleweka hata siku moja ijayo kwa Mungu. NEC imekuwa teaser bull!
   
 4. Ngaramu

  Ngaramu JF-Expert Member

  #4
  Sep 14, 2010
  Joined: May 7, 2009
  Messages: 383
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Wanaheria wa Chadema fanyeni hima kumburuta mahakamani huyu illeterate!!!!!!!!

  Kabla hawjaleta mambo ya keny..
   
 5. Luteni

  Luteni JF-Expert Member

  #5
  Sep 14, 2010
  Joined: Jan 9, 2010
  Messages: 2,274
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Tunaweza kusema hii ni choko choko au kuna kitu kinatafutwa (an accident waiting to happen) ili kiwe breaking point ya kutafuta huruma kwa watu wait and see.
   
 6. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #6
  Sep 14, 2010
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,565
  Likes Received: 1,652
  Trophy Points: 280
  Kaka wanatafuta sababu hao, wafanywe mbaya walala mike, JANA SI UMEONA TBC WANASEMA CHADEMA WANAFANYA FUJO!
   
 7. A

  August JF-Expert Member

  #7
  Sep 14, 2010
  Joined: Jun 18, 2007
  Messages: 4,505
  Likes Received: 723
  Trophy Points: 280
  Ndio naona wanatafuta sababu ya kumzui Slaa asigombe , kwani vurugu zikitokea ndio hivyo tena mtu kuumizwa, maana mama anatembea na mabodo gadi, wapo tayari kurusha lisasi (risasi) au kuwaonyesha kwamba Chadema ni watu wa fujo.
  Hivyo ni vizuri chadema wakaliweka wazi hii kitu kwa wananchi na hiyo Shingo (NEC)
   
 8. N-handsome

  N-handsome JF-Expert Member

  #8
  Sep 14, 2010
  Joined: Jan 23, 2008
  Messages: 2,317
  Likes Received: 128
  Trophy Points: 160
  Duh
   
 9. m

  mwita ke mwita JF-Expert Member

  #9
  Sep 14, 2010
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 5,485
  Likes Received: 1,216
  Trophy Points: 280
  wazee mabinti wenye ngoma UDOM wanaitwa watoto wa mama salma je vyuo vingine wanaitwaje?
   
Loading...