Uchaguzi 2020 NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020

Na kwanini tumuamini huyo mahera yeye ni malaika??

Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Mahera alikuwa bize kuhakikisha wapinzani awarudi bungeni leo yupo bize kuhakikisha wanarudia bungeni why walipokuwa wakiiba awakufikiria kuacha angalau wapinzani hata 40 hivi ili wasipate tabu hizi. Wasifanye makosa haya tena 2025 wasiibe kupita kiasi waache angalau 45 wapinzani washinde
 
Nyie wafia vyama vya siasa ndo mjielewe .Bora sisi wengine Tanzania ndo chama letu.
 
Mnyika amesema kuna nyama za kugushi saini yake, mbona hakutangaza majina kama CCM waivyotangazwa, pii chadema watawezaje kutangaza majina ya mtu mahabusu Nusrat.
 
Kwa mlolongo wa matukio mbali mbali tata ya hii Tume ya Mahera, naelekea kumuamini Mnyika kuliko Mahera. Kuna JINAI imefanyika kughushi sahihi ya J.J.Mnyika ili kuhalalisha HARAMU! Yajayo yanatia KICHEFUCHEFU sana.
Mnajifariji tu, chandimu kuna ombwe la uongozi! Rejea kubadili gia angani enzi za kumpokea Edo!
 
Back
Top Bottom