uniq
JF-Expert Member
- Nov 22, 2011
- 5,089
- 31,085
Soma uelewe sio unajibu kwa gadhabu. Babe S ameonge la kweli kabisa. Chadema Jisafisheni sasawewe unajua nini?
Soma uelewe sio unajibu kwa gadhabu. Babe S ameonge la kweli kabisa. Chadema Jisafisheni sasawewe unajua nini?
Ni mpumbavu pekee anayeweza kuiamini hii NECNEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
Ulitaka waambatanishe na barua ya Mnyika? Si uende NEC kama unataka kuhakiki mkuu?
Mahera alikuwa bize kuhakikisha wapinzani awarudi bungeni leo yupo bize kuhakikisha wanarudia bungeni why walipokuwa wakiiba awakufikiria kuacha angalau wapinzani hata 40 hivi ili wasipate tabu hizi. Wasifanye makosa haya tena 2025 wasiibe kupita kiasi waache angalau 45 wapinzani washindeNa kwanini tumuamini huyo mahera yeye ni malaika??
Sent from my SM-J600F using JamiiForums mobile app
Sheria haisemi barua iambatanishwe na fomu.Sheria inasema jaza fomu na peleka kama zilivyo.Barua ikiambatanishwa na fomu mkuu.
Ni kweli, ila sio kwa maana hiyo unayotaka tuiamini.
Natamani nione Chadema watatumia sabuni gani kujisafisha kwenye hili.Kwenye saga lote hili aliyechafuka ni Chadema! NEC hajachafuka kiasi cha kuhangaika kujisafisha!
Tatizo kubwa kwa kughushi nyaraka?Tatizo ni kubwa kuliko tunavyolifikiria!
Walikataa lini? NEC imepokea majina tar 19! Nyie wafia chama wa kwenye mitandao hebu shitukeni, chandimu wanawaona ni misukule tu!Mbona NEC walikataa kupokea majina toka Chadema!
Fukuza hao wasaliti na barua yao fakeNatamani nione Chadema watatumia sabuni gani kujisafisha kwenye hili.
Hawa jamaa wameamua kutuharibia hii nchi wallah!Majna yanawasilishwa kwa fomu , si barua. Kuna fomu zinajazwa, wanaapa, hakimu anasaini etc.... stupid Mahela
Kama kweli wanadhani NEC wamegushi wafungue kesi.Tatizo kubwa kwa kughushi nyaraka?
Mnajifariji tu, chandimu kuna ombwe la uongozi! Rejea kubadili gia angani enzi za kumpokea Edo!Kwa mlolongo wa matukio mbali mbali tata ya hii Tume ya Mahera, naelekea kumuamini Mnyika kuliko Mahera. Kuna JINAI imefanyika kughushi sahihi ya J.J.Mnyika ili kuhalalisha HARAMU! Yajayo yanatia KICHEFUCHEFU sana.
Wewe unaijua zaidi sheria kuliko hao wanasheria waliokaa chuoni for 4 years??Sheria haisemi barua iambatanishwe na fomu.Sheria inasema jaza fomu na peleka kama zilivyo.
Angalia mchezo mpk wa kufutiwa kesi usiku wa ma8, ni utapeli mtupu