Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 5,897
- 10,358
NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
Mbona NEC walikataa kupokea majina toka Chadema!NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020
Tatizo lenu mnawaamini Sana viongozi wa CHADEMA kana kwamba wao ni Malaika hapanaWamegushi sahihi yake hawa wapuuzi kutafuta namna ya kujisafisha
Si wamesema walipokea tarehe 19/11/2020? Au sielewi mimi?Mbona NEC walikataa kupokea majina toka Chadema!
Tatizo lenu mnawaamini Sana viongozi wa chadema kana kwamba wao ni Malaika hapana
Wamegushi sahihi yake hawa wapuuzi kutafuta namna ya kujisafisha
Ulitaka waambatanishe na barua ya Mnyika? Si uende NEC kama unataka kuhakiki mkuu?Hayo majina yako wapi? Duh hii tume ni shida..
Huyu Mahera tapeli nani anamuamini?Tatizo lenu mnawaamini Sana viongozi wa chadema kana kwamba wao ni Malaika hapana
Tatizo lenu mnawaamini Sana viongozi wa chadema kana kwamba wao ni Malaika hapana
Tatizo ni kubwa kuliko tunavyolifikiria!NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.
NEC: Tulifanya uteuzi wa wabunge wa viti maalum baada ya orodha ya majina hayo kuwasilishwa na Katibu Mkuu wa CHADEMA 19 Novemba 2020.