Elections 2010 Nec nomaaaaaaaaaa

Njowepo

JF-Expert Member
Feb 26, 2008
9,711
2,226
Naangalia ITV apa NEC wanatangaza matokeo wakati Lewis anataka soma ya ubungo wenzake wakamtonya kwa sauti ndogo ila nkaidaka ITV watakaondoa mike kuwa yana marekebisho ayo akayaruka na kuendelea na ya ukerewe.
Naona wameona yatawaumbua nini wee matokeo yameletwa mezani bado wanaogopa kuyataja
 
Najiuliza kama hayakustaili kusomwa yamekujaje kwenye meza ya Lewis ukiona ivyo kuna kitu haooooooooooo
 
:smile-big::smile-big::smile-big: Tafakari........................................
 
Chadema imeshinda, hayo majama ya NEC yakisaidiana na CCM wana yaBAKA matokeo ya uchaguzi nyambaaaaaaaaaaaaaaaaaaaf
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom