Njowepo
JF-Expert Member
- Feb 26, 2008
- 9,710
- 2,226
Naangalia ITV apa NEC wanatangaza matokeo wakati Lewis anataka soma ya ubungo wenzake wakamtonya kwa sauti ndogo ila nkaidaka ITV watakaondoa mike kuwa yana marekebisho ayo akayaruka na kuendelea na ya ukerewe.
Naona wameona yatawaumbua nini wee matokeo yameletwa mezani bado wanaogopa kuyataja
Naona wameona yatawaumbua nini wee matokeo yameletwa mezani bado wanaogopa kuyataja