NEC na UCHAGUZI WA MADIWANI: Wapinzani Watinga Kotini.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

NEC na UCHAGUZI WA MADIWANI: Wapinzani Watinga Kotini..

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Steve Dii, Oct 5, 2007.

 1. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #1
  Oct 5, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Kuna habari ifuatayo iliyojiri hivi mapema kuhusiana na mfumo wa siasa yetu nchini, tafadhali soma hapa chini:

  Source link: Ipp Media

  SteveD.
   
 2. Field Marshall ES

  Field Marshall ES JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2007
  Joined: Apr 27, 2006
  Messages: 12,659
  Likes Received: 69
  Trophy Points: 0


  Ndio hasa ambacho tumekuwa tukikisema hapa, mabadiliko ya kisiasa na kisheria ili kuweza kuwa na uawajibikaji zaidi kwa taifa na wananchi,

  Kuanzia wananchi wenyewe, serikali, na viongozi wetu wote tuwajibike kisheria, kusiwe na walioko juu ya sheria au kutowajibika kabisa na sheria kama Kara!
   
 3. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #3
  Oct 5, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Huu ndio uendawazimu wa sheria zetu. Upande mmoja unasema kuwa kila mwenye umri wa miaka 18 na ana akili timamu ana haki ya kupiga kura, halafu upande mwingine unasema ni lazima uwe na uchaguzi ndani ya siku tisini tangu kiti kuwa wazi (miezi mitatu). Na zaidi ya yote unatakiwa kisheria kutumia daftari la wapiga kura kwa kuhakikisha wenye haki ya kupiga kura wanaandikishwa, sasa itakuwaje?
   
 4. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ni kweli kabisa FM ES, nakumbuka kuna maneno yako yafuatayo ambayo niliyapenda sana yahusianayo na hili:  Sitoongeza, hapa kwa kweli ulinena! Ahsante mkuu.

  SteveD.
   
 5. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #5
  Oct 6, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Jinsi Dailynews lilivyo ripoti habari hii:
  Source link: Daily News.

  SteveD.
   
 6. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #6
  Oct 6, 2007
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Nawapongeza wote waliochukua hatua hizi za kwenda mahakamani, kwani kama wanawanyima haki hao vijana ambao tayari wametimiza umri wa kupiga kura hii ni kinyume na haki za msingi kabisa za kikatiba.

  Kuna haja ya kuendeleza mapambano haya hadi yawe jina langu.....
   
 7. Steve Dii

  Steve Dii JF-Expert Member

  #7
  Oct 27, 2007
  Joined: Jun 25, 2007
  Messages: 6,416
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hatima ya upinzani kwenye uchaguzi wa madiwani ndiyo hii??!!!

  Au bado wana nafasi ya kupinga....

  Habari kwa Kiingereza:
  Source: IppMedia.

  SteveD.
   
 8. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #8
  Oct 27, 2007
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  upinzani moja CCM 0
  sasa wasubiri kupitwa kama wamesimama. unamfanya mchezo eeh!

  kwanza lile tunalidai kimtindo, halafu na kwenye field wasitegemee kupata kitu.

  tunawasubiri na tunawamulika.

  halafu waje hapa wawatujane wananchi ati hawajui wanachokichagua
   
 9. M

  Masatu JF-Expert Member

  #9
  Oct 27, 2007
  Joined: Jan 29, 2007
  Messages: 3,285
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Mtu wa pwani nasubiri kwa hamu kuona "matunda" ya sera za "kuzomea" jumatatu matokeo yatakapo tangazwa
   
 10. Mtu wa Pwani

  Mtu wa Pwani JF-Expert Member

  #10
  Oct 28, 2007
  Joined: Dec 26, 2006
  Messages: 4,095
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 135
  stay in tune masatu, propaganda na ukweli ni vitu viwili tofauti.

  na safari hii tutawajulisha sababu iliomfanya kuku asinyonyeshe
   
 11. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #11
  Oct 28, 2007
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  hivi mmesoma kilichotupwa kando kwenye kesi hiyo.. au mmeruka mistari?
   
Loading...