NEC na diwani viti maalum TLP Arusha waumbuka

Mwan mpambanaji

JF-Expert Member
Apr 3, 2008
482
131
Leo madiwani wote wa manispaa ya walikuwa na semina elekezi,katika hali ya kushangaza akahudhuria Mwahija Choga ambaye nec inalazimisha kwa maelekezo ya CCM awe diwani viti maalum wa TLP
wajumbe wakachachamaa hadi Choga akatolewa kwa aibu
my take
nec na mkurugenzi pamoja na ccm wanaelewa fika kuwa /hoga alifukuzwa tlp tangu mwaka jana,na jina lake halikupelekwa nec,ila kwa hila wanalazimisha ili waweze kulazimisha mambo zao
 
wanachochea moto mwingine uwake kwa ukali zaidi
 
Hawana kazi za kufanya sasa wanahangaika tu. Ila mda wao wa kutusumbua umefika kikomo. Mbio za sakafuni.....
Mungu ibariki Tanzania.
 
PHP:
Leo madiwani wote wa manispaa ya walikuwa na semina elekezi,katika hali ya kushangaza akahudhuria Mwahija Choga ambaye nec inalazimisha kwa maelekezo ya CCM awe diwani viti maalum wa TLP
wajumbe wakachachamaa hadi Choga akatolewa kwa aibu
my take
nec na mkurugenzi pamoja na ccm wanaelewa fika kuwa /hoga alifukuzwa tlp tangu mwaka jana,na jina lake halikupelekwa nec,ila kwa hila wanalazimisha ili waweze kulazimisha mambo zao

hawa NEC si ni siku nyingi tulisema wafungashiwe virago vyao kwa kumbatiza JK kuwa Raisi kinyume na sheria kabisa...................
 
Hivi Arusha kuna utamu gani unaofanya serikali ya CCM ing'ang'anie jiji hilo? Jamani tujuzeni mlioko huko ...... ni investment gani CCM inazilinda huko Arusha?
 
Arusha ndio kwenye mbuga za utalii ambako kama sikosei ndio number 2 foreign exchange earner baada ya madini pesa zote chafu zinaingilia huko na kutokea huko zinatafunwa na wajanja wachache. Wote lazima waende hapo Arusha kwa namna moja au nyingine licha ya pesa za VISA zinazotafunwa NY na London.

CCM they are planting a seed for their own destruction. Kenge huwa hasikiagi, hadi damu zimtoke masikioni. Just wait you will comfess my words!
 
Hivi Arusha kuna utamu gani unaofanya serikali ya CCM ing'ang'anie jiji hilo? Jamani tujuzeni mlioko huko ...... ni investment gani CCM inazilinda huko Arusha?

magafu,Arusha ni mji unaoingiza pesa nyingi sana kama makusanyo katika halmashauri,na CCM huwa wanachota sana hizi pesa kupitia wakurugenzi wa halmashauri,pia kuna madudu mengi yanafanywa na ccm,hivyo km CDM wakipata ridhaa ya kuongoza halmashauri ni wazi mapato yatatumika vema katika miradi mingi ya maendeleo na kuona wanafanya kazi nzuri. Rejea sakata la manispaa ya Moshi CCM walivojimilikisha mali za halmashauri (wananchi) wakisema ni mali ya uvccm! nafikiri utapata jibu hapo kwa nini wanang'ang'ania kwa udi na uvumba waongoze halmashauri
 
Hata wakingangania sana, mwisho wataachia tu sababu hiki ni kipindi chao cha mwisho
Hivi Arusha kuna utamu gani unaofanya serikali ya CCM ing'ang'anie jiji hilo? Jamani tujuzeni mlioko huko ...... ni investment gani CCM inazilinda huko Arusha?

magafu,Arusha ni mji unaoingiza pesa nyingi sana kama makusanyo katika halmashauri,na CCM huwa wanachota sana hizi pesa kupitia wakurugenzi wa halmashauri,pia kuna madudu mengi yanafanywa na ccm,hivyo km CDM wakipata ridhaa ya kuongoza halmashauri ni wazi mapato yatatumika vema katika miradi mingi ya maendeleo na kuona wanafanya kazi nzuri. Rejea sakata la manispaa ya Moshi CCM walivojimilikisha mali za halmashauri (wananchi) wakisema ni mali ya uvccm! nafikiri utapata jibu hapo kwa nini wanang'ang'ania kwa udi na uvumba waongoze halmashauri
 
Kweli hii ni aibu kubwa sana.. Ila ukweli utajulikana tu..

Arusha inaingiza hela nyingi sana..

ILA MAMBO YATABADILIKA... NA SAUTI YA UMMA ITASHINDA...
 
Hivi Arusha kuna utamu gani unaofanya serikali ya CCM ing'ang'anie jiji hilo? Jamani tujuzeni mlioko huko ...... ni investment gani CCM inazilinda huko Arusha?

Viwanja vya wakubwa kule BURKA ndio sababu kuu!!! Kuna Mafisadi wamepanga kujenga mahoteli ya kitalii eneo lile...
 
Back
Top Bottom