Uchaguzi 2020 NEC, msiopowaita hawa raia hatutakubali huu uonevu

Mgombea was CCM ana mengi ya kujibu ikiwemo kutumia lugha ya kikabila kisukuma , kutumia nyenzo za serikali Kama magari , kutisha na kufokea wapiga kura , kufanya kampeni za kibaguzi , kikabila yote haya aitwe ajibu ndio tuone haki inatendeka .
IMG_20200928_220255.jpg
IMG_20200929_104722.jpg
 
Back
Top Bottom