NEC lazima mjue Wasabato wana haki ya kupiga na kupigiwa kura

Ni kuabudu tu si vinginevyo, hawaruhusiwi kufanya kazi siku hiyo hata kupika wanapika ijumaa kwa ajili ya jumamosi!!
Acha uongo wako
Wasabato wanapika jmosi Kila juma

Mnang,Ang,ania sabato wakati ilishaisha
Tuko huru kumwabudu muda wote
 
Madhehebu yote yanayosali siku ya Jumapili hayamzuii muumini kufanya kazi zingine baada ya kusali hiyo ni imani yao, hawawezi kulalamika kwa kuwa imani yao haijaingiliwa.
nani..kasema?..au,unawasema..ambao..unawaona,wanafanya..kazii?
 
Hili la kujiona wasabato ni maalum sana ni uhayawani na upumbavu. Mimi ni mlokole na kwa mujibu wa imani yetu, Jumapili ni siku ya BWANA na tunahitaji kuwa katika hali ya ibada siku hiyo. Lakini hilo haliwezi kunifanya ati nilazimishe NEC wapange Jumamosi uchaguzi kwa kuangalia upande wangu. Nitachagua kusuka au kunyoa, kushiriki uchaguzi au kuacha. Yaani kila uchaguzi mkuu ni Jumapili, halafu ka uchaguzi kadogo kamoja eti unatokwa povu namna hii? Hebu heshimu na imani za wengine!!! Kuna watu wanasali Jumatatu, wengine jumanne na kila siku ya wiki! Imani sio Ukristo, usabato na uislamu pekee. Serikali ikifanya kazi kwa kuzingatia huu upuuzi hatufiki popote
Acha ujinga kama mliona hivyo kwa nini mlisubili hadi wasabato walalamike ndio uanzishe huo upuuzi wako! Hakuna aliekukataza kulalamika kwa miaka yote hiyo uko kimya hadi usubiri wasabato waseme.
 
Una uhakika gani kuwa sabato ilikuwaga jmosi tangu zamani?
Haijawahi badilika tokea kuumbwa kwa nchi, sabato aliyosali Yesu Kristo ndio hiyohiyo bado inaazimishwa na Waisraeli hadi leo kwenye masinagogi yale yale aliyoyaacha Yesu Kristo, Biblia haifichi kuhusu sabato ni siku gani, sikukuu ya Pasaka inakufahamisha sabato ni siku gani Ijumaa kuu, siku Yesu akiposulubiwa, Jumamosi Yesu alishinda kabulini kwa kuwa ilikuwa sabato, Jumapili alifufuka siku yakwanza ya juma. Hayo ni maneno ya Biblia. Una jingine?
 
Huelewi nini? Nimesema kwa mujibu wa misingi ya imani yao ambayo inapatikana katika Biblia takatifu katika kitabu cha kutoka 20:8-11 amri ya tatu ya Mungu, kwa mujibu wa andiko hilo haitawezekana msabato kushiriki zoezi hilo siku ya sabato ni imani yao kwa nini tulazimishe kuwakwaza?
Ndani ya nchi kuna wezi, vibaka, walokole, wasabato, wapagani, matapeli, nk. nchi ni mchanganyiko na serikali haiwezi kuwapa furaha wote. Kuna mambo utayafanya bila kupenda. Kuna mambo utaombwa kuyafanya kama unaweza, kama hutaki acha na serikali haitabadili muelekeo.

Yaani imani yao ya Kutoka .... ndo igeuze tarehe ya kupiga kura! Biblia yao ni tofauti na wengine? Waislamu unawalazimisha na Kutoka ... Wapi huko.

Ninyi bakini hivyo hivyo maana kanisa lenu linashawishi wafuasi kutoshiriki siasa. endeleeni ili mfike haraka mbinguni.
 
Serikali zipo kuwatumikia wanadamu hazipo kuwatumikia kuku na mbwa! Serikali ni wanadamu ambao ni mali ya Mungu na wana imani zao na wanamwamini Mungu naishauri serikali inayoongozwa na wanadamu wanaopaswa kuwasikiliza watu wanao waongoza na ndio maana huwa tunawachagua kwa kuwapigia kura huwa hatuamki tukakuta Mungu ametuletea Mtawala.
Wenye mamlaka wamesikia ushauri wangu kuhusu haki za hao raia najua litafanyika kazi.
Najua serikali ya Tanzania haiegemei upande wa dini yoyote ile ila inaamini uwepo wa Mwenyezi Mungu na ndio maana wimbo wa taifa unaanza na maneno ya kutambua uwezo wa Mungu katika taifa.
Ishauri serikali iboreshe huduma za kijamii nitakuunga mkono,

Isipokuwa huu ujinga,
 
KWANI TZ . KUNA UCHAGUZI TENA ZAIDI YA KUZUGA NA KUPOTEZA MUDA NA RASILIMALI TU ILA MSHINDI NI LAZIMA ATOKEE CCM HAINA HAJA ENDELEENI NA MFUMO MLIYOUAMUA NA MISITUPOTEZEE MUDA HADI MTAKAPO JIREKEBISHA KUPATIKANA KWA TUME HURU YA UCHAGUZI NA KATIBA MPYA VINGENEVYO NO NO.

My God,,
 
Wacha sisi tuendelee kushikilia huu UJINGA wetu wa DINI na wewe endelea kushikila huo UJINGA wako ulionao halafu mwisho wa siku kila mmoja atavuna kile alichokipanda.
Dini zilianzishwa kwa makusudio ya kumshawishi Mungu aondoe kifo,

Pamoja na utitiri wa dini ulimwenguni kifo bado kipo palepale,

Ndg weka akilini mwako na uamini moyoni mwako kwamba:

Dini si Mungu
Mungu si dini
 
Ni kweli, imani yao inawazuia kufanya kazi nyingine yoyote siku hiyo, lakini makanisa mengine yote uliyoyataja hayana kizuizi hicho na ndio maana hapajawahi kuwepo na malalamiko yoyote kwa zaidi ya nusu karne ya uhuru wetu.
Basi SDA ni dhehebu hewa. Litengwe tu!!

Waislam wanaswali Ijumaa hawajawahi kulalamika

Wakristo wanasali Jumapili na uchaguzi hufanyika jumapili... hawajawahi kulalamika...

Uchaguzi wa vijimbo vitatu tu kufanywa jumamosi visabato mia nane vinapiga kelele kama mbuzi aliye kwenye heat!!!!

Narudia tena wasabato watengwe tu hawana nguvu wala tija ya kubadilisha matokeo ya uchaguzi wa nchi yetu ...

Watengwe ... NEC ignore these minors!!
 
Hili la kujiona wasabato ni maalum sana ni uhayawani na upumbavu. Mimi ni mlokole na kwa mujibu wa imani yetu, Jumapili ni siku ya BWANA na tunahitaji kuwa katika hali ya ibada siku hiyo. Lakini hilo haliwezi kunifanya ati nilazimishe NEC wapange Jumamosi uchaguzi kwa kuangalia upande wangu. Nitachagua kusuka au kunyoa, kushiriki uchaguzi au kuacha. Yaani kila uchaguzi mkuu ni Jumapili, halafu ka uchaguzi kadogo kamoja eti unatokwa povu namna hii? Hebu heshimu na imani za wengine!!! Kuna watu wanasali Jumatatu, wengine jumanne na kila siku ya wiki! Imani sio Ukristo, usabato na uislamu pekee. Serikali ikifanya kazi kwa kuzingatia huu upuuzi hatufiki popote
Mkuu... hivi visabato ni vijinga kama panyabuku achana navyo
 
Yetu yapi sasa!!! Kama hawalalamiki niwao, sisi Mungu wetu wambinguni anatukataza kufanya chochote siku hiyo, zaidi yakumuabudu yeye tu!
Huyo mungu wenu mkae naye Jumamosi awapangie ratiba mpya. Hakuna Mungu aliye bwege namna hiyo. Yani kuweka tiki au krosi kwenye karatasi ya kura nayo mnaona ni kazi ya kuwatoa jasho?

mungu huyo anatisha
 
Back
Top Bottom