johnthebaptist
JF-Expert Member
- May 27, 2014
- 83,915
- 141,873
Mkurugenzi wa Huduma za sheria wa tume ya uchaguzi Emmanuel Kavishe amesema kama pingamizi la Tundu Lisu wa Chadema dhidi ya DKT. Magufuli wa CCM lingekuwa na mashiko basi tume ingechukua hatua kwa mujibu wa katiba kwani hakuna mgombea aliye juu ya Sheria.
Kavishe alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa BBC Zuhura Yunus aliyetaka kujua iwapo tume ambayo makamishna wake wote wameteuliwa na Rais inaweza kumhoji na kumchukulia hatua mteule wake.
Kavishe amesema pingamizi la Tundu Lisu lilikosa mashiko na Dr Magufuli alizipangua hoja zote kwa ufasaha.
Chanzo: BBC Dira ya Dunia.
Maendeleo hayana vyama!