Uchaguzi 2020 NEC: Kama pingamizi la Tundu Lissu dhidi ya Dkt. Magufuli lingekuwa na mashiko Sheria ingefuata mkondo wake, hakuna aliye juu ya sheria!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,616
141,445
Mkurugenzi wa Huduma za sheria wa tume ya uchaguzi Emmanuel Kavishe amesema kama pingamizi la Tundu Lisu wa Chadema dhidi ya DKT. Magufuli wa CCM lingekuwa na mashiko basi tume ingechukua hatua kwa mujibu wa katiba kwani hakuna mgombea aliye juu ya Sheria.

Kavishe alikuwa akijibu swali la mtangazaji wa BBC Zuhura Yunus aliyetaka kujua iwapo tume ambayo makamishna wake wote wameteuliwa na Rais inaweza kumhoji na kumchukulia hatua mteule wake.

Kavishe amesema pingamizi la Tundu Lisu lilikosa mashiko na Dr Magufuli alizipangua hoja zote kwa ufasaha.

Chanzo: BBC Dira ya Dunia.

Maendeleo hayana vyama!
 
NEC ni wanafiki tu, wale wale wazee wa kupiga "MAPAMBIO", "VIBARAKA", "TAWI DOGO LA CCM".

Dalili zinaonesha safari hii wananchi ndio watakao amua, iwe kwa ustaarabu au kwa ncha ya mkuki.
 
Kaijeage kwendraaaaa zako kuleeee..
https://jamii.app/JFUserGuide.. NG TUMEEEE....
 
Hoja za lisu zilikosa mashiko halafu hafafanui😂😂😂😂kivipi?.. magu alizipangua hoja hizo kivipi mbona hatuelezwi?kwa njia ya simu au vipi?Sheria inasemaje?😂😂😂😂😂😂 Huu mwaka mtatumia muda wenu hapo ofisini kujitetea mpaka
 
Back
Top Bottom