Elections 2010 NEC IFUMULIWE puuuh na BUNGE lijalo , la sivyo upinzani itakuwa ndoto kushinda,

Obama08

Senior Member
Sep 17, 2010
181
1
Ili NEC iwe huru na haki Bunge lijalo ambalo naamini sasa lina wabunge wakutosha kutoka vyama vya upinzani, washinikize WAJUMBE WOTE WA NEC WAPITISHWE NA BUNGE, PIA TAKUKURU, WASIPOFANYA HIVYO NI NDOTO UPINZANI KUONGOZA NCHI, MAANA NEC INAPELEKESHWA NA ALIYE WACHAGUA, HIVYO BASI WABUNGE WAJENGE HOJA MARA MOJA ILI KUIBOMOA NEC NA KUIUNDA NEC MPYA MTAONA MATOKEO, BELIEVE ME, WABUNGE HIMA MSWADA MARA MOJA KUFUMUA NEC, yaani hapo mtakuwa na uhakika wa uchaguzi, vinginevyo wapinzani wanajaza maji kwenye gunia, quick, faster, hurry up wabunge, mtakuwa mmepata ushindi mkubwa, believe me again, nyie mnakata matawi kateni mizizi kumaliza fitina za kuchakachuliwa, period
 
Ni kweli kuwa na NEC ya Kikwete ni kikwazo hasa hatua ya urais kwani wanaweza kuchakachua kura na hata mahakama haina uwezo wa kuwahoji - katiba inawalinda! Hivyo kama ulivyosema kuna haja ya kuhakikisha wajumbe wa NEC wanatoka katika vyama vya siasa na wajadiliwe na kupitishwa na bunge.
 
very simple, Kiravu na wajumbe wa NEC JK ndio kawateua, i.e presidential appointees, sasa upinzani wanategemea nini? haihitaji elimu wala profession kujua hamna haki na usawa hapo, it is a common sense, yaani Kiravu amgeuke boss wake? ndoto za alinacha za mchana, wapinzani fanyieni kazi hili wazo faster, Wajue wa NEC wachaguliwe na Bunge na Kupitishwa na Bunge, pelekeni mswada haraka, taasisi za umma nchi nzima zitawaunga mkono.
 
Hii haikubaliki nasema kama noma na iwe noma

Matokeo Tunduru Kaskazini

Kikwete amepata kura 22,261

Slaa amepata kura 1,965

Lipumba amepata kura 12,935
 
Bunge lina uwezo huo, wabunge ndio wawakilishi wa wananchi, so wanafanya mambo kutokana na matakwa yetu, mwananchi ukumwambia NEC haifai wengi hawataelewa, NEC ipigwe chiniiiiiiiiiiiiiii
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom