Elections 2015 NEC hawaaminiki, wamegawa namba zetu za simu kwa CCM! Hii ni hatari sana

Jay One

JF-Expert Member
Nov 12, 2010
16,646
16,266
Kwanini mnajifanya viziwi na vipofu..!!? Kwanini mnaanza kutoa mawasiliano ya wapiga kura kwa CCM...? Hii inamaanisha NEC mnahujumu UCHAGUZI WAZI WAZI...!! Hata kabla ya kupiga kura..!!

Mfano: Nimepigiwa simu, usiku, ikiwa sauti ya Mh. Magufuli iko recorded kuniomba kura..!!
Namba CCM wanayotumia ni +255 756 777 777, ikisema yeye ni John Magufuli, anaomba kura yangu...!!!

Hivi kwanini mnafanya haya..? Why..?

These are voters details, kwanini mnawapa CCM..? hii ina maanisha hata namba zetu za VITAMBUSLISHO VYA KURA, ZOTE CCM wanajua....!! Kwanini NEC mnaleta hatari kubwa hivi...?

Mtaharibu uchaguzi huu... sbb naamini mmeshawapa CCM data zote za wapiga kura..!!!

HILI ni KOSA KISHERIA, NEC?
 
Kama CCM wameapata hadi namba zetu za simu zilizoko NEC... hii ni wazi kabisa... wana NAMBA ZA VITAMBUSLISHO VYOTE VYA WAPIGA KURA..!!! So hii ni hatari sana...!!!

NEC now i confirmed haiko huru hata kidogo.. kwanini mnatoa DETAILS za wapiga kura kwa CCM..?

NEC mtaharibu huu uchaguzi.. na hamtaki kusikia..!!!

NEC, details za wapiga kura, simu kama mmeweza wapa CCM, najua kila data na namba za kila mpiga kura CCM wanazo...!!! NEC kwanini mnafanya haya..? NEC mtaleta hatari sana..!!! Na hamtaki kusikia wala kuona huku mitaani hali ilivyo.... kila mtu leo anaongeleo kutumiwa sms au kupigiwa simu na CCM, watu wamechukia sana.. sanaa..!!
 
Mie walinitumia msg.

Hapo ndiyo mjue kumtoa ccm si kazi rahisi katika mazingira kama haya ya kutokuwa na tume huru ya uchaguzi.
 
Mie walinitumia msg.

Hapo ndiyo mjue kumtoa ccm si kazi rahisi katika mazingira kama haya ya kutokuwa na tume huru ya uchaguzi.

NEC washatoa details zetu zote kwa CCM.. hii ni mbaya sana.. iko wazi NEC haiko huru hata kidogo, sasa nimeamini..!!! Ikiwa hivi hakuna haja ya uchaguzi... ni kosa kabisa kabisa..!!
 
Kwanini mnajifanya viziwi na vipofu..!!? Kwanini mnaanza kutoa mawasiliano ya wapiga kura kwa CCM...? Hii inamaanisha NEC mnahujumu UCHAGUZI WAZI WAZI...!! Hata kabla ya kupiga kura..!!

Mfano: Nimepigiwa simu, usiku, ikiwa sauti ya Mh. Magufuli iko recorded kuniomba kura..!!
Namba CCM wanayotumia ni +255 756 777 777, ikisema yeye ni John Magufuli, anaomba kura yangu...!!!

Hivi kwanini mnafanya haya..? Why..?

These are voters details, kwanini mnawapa CCM..? hii ina maanisha hata namba zetu za VITAMBUSLISHO VYA KURA, ZOTE CCM wanajua....!! Kwanini NEC mnaleta hatari kubwa hivi...?

Mtaharibu uchaguzi huu... sbb naamini mmeshawapa CCM data zote za wapiga kura..!!!

HILI ni KOSA KISHERIA, NEC?
Mkuu vp.. upo
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom