Elections 2010 Nec computers

bulunga

JF-Expert Member
Oct 24, 2010
303
49
486( speed model) computers ilikuwa karibu 20yrs ago je ndo wanazo tumia NEC uchaguzi huu pia 286, inawezeka alitumia jaji makame enzi hizo, mabadiliko ya tekno hama yamewezesha kazi kufanyika kwa haraka na ufanisi lakini sio hapa TZ, iam sure hata hizo model za zamani zingelitumika matokeo yasingelichukua this long,kuna agenda ya siri:sad:
 
Tatizo sio kompyuta bali software lakini pia hao wanadamu wanaoingiza data kwenye kompyuta speed yao ya kinyonga.
 
Tatizo sio kompyuta bali software lakini pia hao wanadamu wanaoingiza data kwenye kompyuta speed yao ya kinyonga.

uapokuwa na powerfull computer u do ur things faster, computer speed should matchup na software requirements, kwani tz hakuna watu waoweza kuingiza data upesi, kumbuka hata miaka ya nyuma watumiaji wa computer walitumia kupunch card kuingiza data na ilikuwa faster than this
 
Tatizo sio kompyuta bali software lakini pia hao wanadamu wanaoingiza data kwenye kompyuta speed yao ya kinyonga.
Tatizo siyo software wala Computer, matokeo yanacheleweshwa kwa makusudi ya kuchezea na kuiba kura. Full stop.
 
kama jinsi shule za kata zilivyowekwa kwa mahesabu makubwa, na fedha za elimu ya watu wazima kuliwa.
ni bahati mbaya au mkakati?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom