Consigliere
JF-Expert Member
- Sep 9, 2010
- 12,037
- 24,595
Ameambiwa arekebishe kasoro ili hivyo vyama vishiriki. Sijamsikia akizungumza kurwkebisha hizo kasoro. Hata mpirani unachezaje na yimu iliyokuja na refa wao, sheria zao,mpira wao, uwanja wao halafu utegemee ushindi?
DED ndio returning officer wa uchaguzi. Leo anaonekana katika mkutano wa CCM sasa unayegemea atatangaza matokeo ya aina gani?
Mkuu, mimi nadhani akina Mbowe wangekua wanaita media baada ya kuchukua hatua kadhaa with evidence badala ya kuita media na kiishia kutuhumu without evidence.
Wanajua fika magirini ya watu wanaoshindana nao lakini sioni kama kuna any note taker among them. Mwishowe wanaishia kuinekana ni walalamikaji tu.