Elections 2010 NEC aibu, CCM aibu, Tanzania aibu!

Chapakazi

JF-Expert Member
Apr 19, 2009
2,874
310
Ivi kweli kuna mtu mwenye akili timamu asiyejua kuwa NEC wanafanya hila kubadilisha matokeo?
Ivi kweli unaweza kusema huu ulikuwa uchaguzi huru na kweli Tanzania?
NEC wametia aibu Tanzania
CCM wametia aibu zaidi kwa kudhihirisha kuwa wao ni wezi!
Na watanzania mtatia aibu kama kweli mtakubali haya matokeo!
hatuwezi kusubiri siku 5 za kuhesabu kura mil 19!
Ukimya wa CHADEMA nao unanipa mashaka! Come out, speak out! Mbona mnakubali unyanyasaji na inefficiencies za ajabu? Hamjui kuwa nyie ndo sauti ya wananchi? Mnawezaje kuwa People's Power huku mnawasaliti wananchi na ukimya wenu?

Wito kwa WaTz...tusikubali matokeo yoyote yenye utata! V
 
Jamani, hiyo NEC nani anamteua bosi wake? kuna ambaye hajui? kibarua chake hakipendi? si anajua kuwa presidaa mpya atakuja na mtindo mpya kwa kuleta utaratibu mpya wa kumpata mpya kwa njia ya interview. nani anapenda hilo? ww acha tu haya mambo.
 
NEC inateuliwa na rais!!
 
kwa hiyo huyo mteuliwa anakuwa loyal kwa aliyemteua. je akimwambiwa na huyo analiyemteua achakachue matokeo atasema sitaki? akili ku mkichwa.
 
Uongo huishi kwa muda mfupi sana na mwisho wake ni aibu tu hata kama uongo huo ulifanya watu wajisikie vizuri au vibaya. Jinsi uongo unavyotawala katika uchaguzi na matokeo yake ndivyo hivyo hivyo nchi itaongozwa kwa uongo. Itakuwa ngumu kuiongoza nchi katika kweli, hivyo ni chain ya uongo tu itaendelea hadi pale mapinduzi ya kweli yatakapotokea.
 
kwa hiyo huyo mteuliwa anakuwa loyal kwa aliyemteua. je akimwambiwa na huyo analiyemteua achakachue matokeo atasema sitaki? akili ku mkichwa.
 
Ivi kweli kuna mtu mwenye akili timamu asiyejua kuwa NEC wanafanya hila kubadilisha matokeo?
Ivi kweli unaweza kusema huu ulikuwa uchaguzi huru na kweli Tanzania?
NEC wametia aibu Tanzania
CCM wametia aibu zaidi kwa kudhihirisha kuwa wao ni wezi!
Na watanzania mtatia aibu kama kweli mtakubali haya matokeo!
hatuwezi kusubiri siku 5 za kuhesabu kura mil 19!
Ukimya wa CHADEMA nao unanipa mashaka! Come out, speak out! Mbona mnakubali unyanyasaji na inefficiencies za ajabu? Hamjui kuwa nyie ndo sauti ya wananchi? Mnawezaje kuwa People's Power huku mnawasaliti wananchi na ukimya wenu?

Wito kwa WaTz...tusikubali matokeo yoyote yenye utata! V
Acha ujinga jina lako zuri fanya kazi!
 
Back
Top Bottom