Near-death experience hiki kitendo kimewahi kukutokea?

TEAM 666

JF-Expert Member
Dec 7, 2017
4,330
8,420
Habar wana JF:

mystical near-death experiences where people report a range of spiritual and physical symptoms, including out-of-body sensations, seeing or hearing hallucinations, racing thoughts and time distortion, affect around 10 per cent of people, according to a new study that analysed participants from 35 countries.

Uzoefu wa karibu-kifo (NDEs) ni sawa na kawaida katika watu ambao hawako katika hatari ya kufa kama ilivyo kwa wale ambao wamepata hali zenye kutishia maisha kama vile mshtuko wa moyo, shambulio la gari, karibu na kuzama au kupambana na hali.
 
Kwenye kiswahili nimekuelewa uzur tuu,tatizo ni hako kakipande kajuu yani hapo kwenye hiyo lugha nyeupe hapoo.🏃🏿🏃🏿🏃🏿
 
lack of oxygen, failure to do anything plus safforcatipn feel uncotiously failure to talk eye dizzleness,legs comes to cold heart bits come slow low and low heavy thirst kwaherini kwaherini kwaherini then you come into COMMA.
LORD RESCUE US./ only ears can listen outcry for almost 3 hours,after that time .......!
 
Kwenye kiswahili nimekuelewa uzur tuu,tatizo ni hako kakipande kajuu yani hapo kwenye hiyo lugha nyeupe hapoo.
Maluelue yanayoonekana mtu unapotaka kufariki.
Nadhani Mshana ndiye mjuzi pekee anayewa kusimulia sawasawa. Maana huko nyuma aliwahi kutoa andiko lake la sanaa ya kifo.
 
lack of oxygen, failure to do anything plus safforcatipn feel uncotiously failure to talk eye dizzleness,legs comes to cold heart bits come slow low and low heavy thirst kwaherini kwaherini kwaherini then you come into COMMA.
LORD RESCUE US./ only hears can listen outcry for almost 3 hours,after that time .......!
Duu!
 
lack of oxygen, failure to do anything plus safforcatipn feel uncotiously failure to talk eye dizzleness,legs comes to cold heart bits come slow low and low heavy thirst kwaherini kwaherini kwaherini then you come into COMMA.
LORD RESCUE US./ only ears can listen outcry for almost 3 hours,after that time .......!
Duh hatar sana hii kitu, imeshawahi kunitokea zaidi ya Mara 3, amakwahakika nilikuwa sina ujanja mbele sioni naona kiza kifuani kumeiwisha nguvu pumzi nazitafuta kwa tochi,mapigo ya moyo yalikuwa yanakwend kwa kasi hofu, mashaka, vilianza kutawala mwili wangu Duh nilikua nikilia Oooh Baba Oooh mama Nakufa mie basi tena mie.....ile hali ingeendelea ndani ya Dakika 30 mbele kusingekua na na ID ya TEAM B-13 tena hapa JF dead target hahahaha Dunia inamambo

wajuzi tunahitaji nyama
 
Kwenye kiswahili nimekuelewa uzur tuu,tatizo ni hako kakipande kajuu yani hapo kwenye hiyo lugha nyeupe hapoo.
Swahili vision

uzoefu wa ajabu wa kifo-karibu ambapo watu huripoti dalili tofauti za kiroho na za mwili, pamoja na hisia za nje za mwili, kuona au kusikia maoni, mawazo ya mbio na upotezaji wa wakati, huathiri karibu asilimia 10 ya watu, kulingana na utafiti mpya ambao ulichambua. washiriki kutoka nchi 35.
 
Back
Top Bottom