Ndyanabo Hatunaye | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndyanabo Hatunaye

Discussion in 'Matangazo madogo' started by John Mnyika, Oct 5, 2008.

 1. John Mnyika

  John Mnyika Verified User

  #1
  Oct 5, 2008
  Joined: Jun 16, 2006
  Messages: 715
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Nikiwa njiani kuelekea Tarime, naomba kutoa rambi rambi kwa kifo cha Wakili Ndyanabo. Namkumbuka marehemu kama mmoja wa wakazi wa jimbo la Ubungo aliyekuwa mstari wa mbele kutetea demokrasia kupitia taaluma yake ya uanasheria. Marehemu atakumbukwa pia kwa mchango wake kupitia kesi aliyofungua kupinga kiasi cha fedha kinacholazimika kuwekwa kama dhamana katika kufungua kesi cha uchaguzi. Mwenyezi Mungu amlaze mahali pema.

  JJ
   
 2. G

  Game Theory JF-Expert Member

  #2
  Oct 5, 2008
  Joined: Sep 5, 2006
  Messages: 8,571
  Likes Received: 92
  Trophy Points: 0
  naye alikuwa CHADEMA au CCM?
   
 3. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #3
  Oct 5, 2008
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  RIP mh Ndyanabo...
   
 4. Victoire

  Victoire JF-Expert Member

  #4
  Oct 5, 2008
  Joined: Jul 4, 2008
  Messages: 10,445
  Likes Received: 7,183
  Trophy Points: 280
  Pumzika kwa amani Ndyanabo!
   
 5. Zitto

  Zitto MP Kigoma Urban

  #5
  Oct 5, 2008
  Joined: Mar 2, 2007
  Messages: 1,197
  Likes Received: 109
  Trophy Points: 160
  Mungu aiweke roho ya marehemu Wakili Ndyanabo mahala pema peponi. Amen
   
 6. O

  Ogah JF-Expert Member

  #6
  Oct 5, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 6,229
  Likes Received: 71
  Trophy Points: 145
  Poleni wafiwa.......Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi
   
 7. Mwawado

  Mwawado JF-Expert Member

  #7
  Oct 5, 2008
  Joined: Nov 2, 2006
  Messages: 998
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 35
  Mwenyezi Mungu aiweke roho ya Marehemu Ndyanabo mahali Pema Peponi.Alikuwa ni mpenda haki na mtetezi wa Wanyonge.
   
 8. BAK

  BAK JF-Expert Member

  #8
  Oct 5, 2008
  Joined: Feb 11, 2007
  Messages: 70,489
  Likes Received: 81,783
  Trophy Points: 280
  Mwenyezi Mungu ailaze roho ya marehemu mahali pema peponi na awape wafiwa subira na faraja katika kipindi hiki kigumu kwao.
   
 9. Ladslaus Modest

  Ladslaus Modest JF-Expert Member

  #9
  Oct 5, 2008
  Joined: Jun 27, 2008
  Messages: 638
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Mwenyezi Mungu aliyemuumba Wakili Julius Ndyanabo hatimaye amemrudisha kwake.

  Bwana alitoa na Bwana ametwaa, Jina la Bwana libarikiwe (Ayubu 1:21). Amen.

  Ninamkumbuka alikuwa jirani yangu pale sinza (karibu na Namnani hoteli)

  Poleni sana Mke, watoto, pamoja na ndugu wote ambao msiba huu unawahusu.

  Raha ya Milele umpe Ee Mungu Muumba, na mwanga wa milele umwangazie, apumzike kwa amani. Amen.
   
 10. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #10
  Oct 6, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  Mwenyezi Mungu aiweke roho yake mahali pema peponi. Amin
   
 11. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #11
  Oct 6, 2008
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  RIP Ndyanabo.

  Ilikuwaje, accident?
   
 12. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #12
  Oct 6, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  amazing!

  watoto 19 wamekufa Tabora hata kuonesha uungwana wa kikwete kutoa pole hapana umekimbilia kumkingia kifua Dr. Dau. Hapa zimeletwa habari za kifo cha Ndyanabo ambaye alikuwa anajulikana; wewe unakuja na kuuliza kama alikuwa CHadema au CCM; na kama alikuwa Chadema ungeuliza kama alikuwa Mchagga au Mzaramo? Na angekuwa CCM ungeuliza kama alikuwa Mkristu au Muislamu? It just makes sense!
   
 13. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #13
  Oct 6, 2008
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mzee Mwanakijiji,
  Hiyo beef yako kwa GT nadhani mngewasilana kwenye PM zenu kwani tayari umeamua kuendelea kutwist maudhui ya thread hii.
  Kwa heshima na taadhima please acheni thread hii kama ilivyo.
   
 14. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #14
  Oct 6, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  alipouliza kama "CCM au Chadema" haikuwa kutwist maudhui na ulikaa kimya? Hukuona sababu ya kukosoa wakati huo siyo? ila mimi ndiye nimetwist maudhui. Really?
   
 15. Sam GM

  Sam GM JF-Expert Member

  #15
  Oct 6, 2008
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 536
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  RIP Ndyanabo Mwenyezi Mungu awafariji wafiwa.
   
 16. Pundamilia07

  Pundamilia07 JF-Expert Member

  #16
  Oct 6, 2008
  Joined: Oct 29, 2007
  Messages: 1,433
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  M/kijiji
  Nilikwisha iona kuwa imekuwa twisted na sikutaka kuiendeleza, kama ambavyo FMES husema, huiacha hoja ife yenyewe, kwahiyo ile twist ya kwanza ilitakiwa iachwe ife na siyo kuiendeleza. Naomba hii post mkuu iwe ndiyo ya mwisho tusiendelee kutwist mambo zaidi.
   
 17. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #17
  Oct 6, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,277
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  R.I.P n Mungu aiweke roho ya marehemu mahala pema peponi
   
 18. Mtaalam

  Mtaalam JF-Expert Member

  #18
  Oct 6, 2008
  Joined: Oct 1, 2007
  Messages: 1,277
  Likes Received: 40
  Trophy Points: 145
  na nyie mchezao mchezo wa kutwist twist wajimini ingependezaga mka twistia mambo hayo kwenye pms huko...haiependezi kwa kweli kuletewa habari za mtu kututoka na mtu kuuliza kwani yeye alikua ccm au chadema???
   
 19. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #19
  Oct 6, 2008
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,360
  Likes Received: 6,377
  Trophy Points: 280
  ungeweza kusema kwanza kuhusu suala hilo pale lakini ulikaa kimya. So, inaonesha ulikuwa umechagua upande gani ulipoamua kushambulia la kwangu. So, naone tuache tu yaishe, lakini next time, be fair usiwe na standard za watu wengine wote and then standard za mwanakijiji.
   
 20. Lusajo

  Lusajo JF-Expert Member

  #20
  Oct 6, 2008
  Joined: Feb 25, 2008
  Messages: 451
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  (RIP Ndyanabo) Poleni wafiwa, halafu pundamilia ungemuuliza GT hata kusema pole kwa wafiwa hawezii? hata kama ni CCM au CHADEMA lakini at least hata kuwapa pole wafiwa.
   
Loading...