Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,846
- 20,694
"Ndugunization" ni neno la zamani ambalo lilitoholewa kutoka kwenye lugha ya Kiswahili.Kwa Kiingereza ni 'Nepotism'.Neno hili lina maana ya kumpendelea mtu ambaye ni ndugu katika vitu kama ajira nk.Hata hivyo mimi nitalitumia neno hili nikiwa na maana ya 'kumpendelea mtu yeyote aliyekaribu nawe ili aweze kupata chochote kitakachomsaidia katika maisha yake.'
Mwalimu Nyerere alikemea sana tabia hii,hasa kwa kuwa alijua 'ndugunization' ina athari mbaya katika ustawi wa taifa.'Ndugunization' au nepotism inaweka watu wasiostahili sehemu mbalimbali wasizostahili na hivyo kuzorotesha utendaji kwa ujumla katika taifa katika nyanja zote za uzalishaji,utoaji huduma na hata katika siasa.Ni cancer mbaya katika taifa na jamii, ambayo inatakiwa kuchukiwa na kila mwana jamii.
Kwa bahati mbaya tumeona tabia hii ikiendelea kuimarika katika taifa letu, ndani ya serikali,mashirika mbali mbali na hata kwenye nyanja za siasa, jambo ambalo ni hatari kwa ustawi wa taifa kama nilivyosema.Tulishuhudia jinsi watoto wa viongozi mbali mbali walivyokuwa wamejazana Bank Kuu,tunaona jinsi watoto wa viongozi wa Wizara na mashirika mbali mbali walivyojazana katika taasisi hizo.Wakati mwingine najiuliza,hivi vijana wetu wasio na ndugu in responsible positions au connections, wao wakaponee wapi?Alienation hii ni mbaya na italigharimu taifa sana.Ni bomu ambalo linasubiri kupasuka.Nadhani ifike mahali Watanzania wote kwa ujumla wetu tuchukie vice hii,ili kila Mtanzania apate stahiki yake.'Ndugunization' italiangamiza taifa,we all have to say no to this very old-fashioned menace.Kama vile taifa lilivyovalia njuga swala la ufisadi,vyeti feki na ukwepaji kodi,ni vema pia taifa likaelekeza nguvu zake katika swala hili.