Mathanzua
JF-Expert Member
- Jan 4, 2017
- 15,848
- 20,697
- Thread starter
- #21
Sijamnyooshea mtu yeyote kidole,naomba usinipeleke huko.Mimi nimeliongelea kama tatizo la kitaifa which we all need to cooperate to tackle.Ila thankyou, kwa kuwa naona unakubali kwamba tatizo hili lipo.Ya sasa inaitwa bashitenization iko palepale alipokuwa Mwalimu. Mtathubutu?