Ndugu Zitto tulia, usiendeshwe na mihemko. You need to be so smart katika hili

GuDume

JF-Expert Member
Jan 18, 2015
6,652
14,247
Nlisoma post yako moja katika twitter ukiwa umeandika kwa mihemko ya furaha isiyo na kifani kuwa haijawahi kutokea watu zaidi ya 10000 wakachukua kadi kwa wakati mmoja.

Nakumbuka mdau mmoja alikukumbusha kitu...kuwa watu hao hawajaja ACT wamemfuata Maalim Seif. Ni waliokuwa CUF sasa kwa kuwa Maalim amehamia ACT nao wamemfuata.

Unapaswa uwe smart kuelewa wale si wanachama wa ACT. Wale ni wafuasi wa Maalim Seif. Kama Maalim angehamia CHAUMA pia wangeenda, kama angehamia UDP pia wangeenda na siku akitoka ACT nao watatoka.Maana yake nini?

Wewe zitto huna watu, huna nguvu, hawajakufuata wewe, hawajafuata Sera za Act. Seif ana nguvu atakuwa na nguvu kubwa nyuma yake kuliko wewe.

Sikatai wewe kushangilia maana una uhakika wa kupata wabunge huko zanzibar ambao walikuwa wa CUF lakini kaa chini fikiria kimakini.je kama seif hayupo utakuwa na nini?

Mwaka 2015 kuna vijana wengi walijiunga na CDM wakienda na Lowassa.hawa walikuwa na imani ya kisiasa na Lowassa na Mageuzi yaliyojawa na chuki dhidi ya CCM. Walijiita Ulipo Tupo. Miaka Mitatu na nusu baadaye Lowassa anaondoka CDM hana nguvu kisiasa, kiushawishi ameshachoka.

Vijana wale ama watabaki CDM au wataamua kuachana na Siasa. Kwa Maalim ni tofauti. Watu walio na Maalim ni watu ambao wanamchukulia Maalim kama Mussa wao wa kuwapeleka Kaanani.

Ni watu ambao mbali na Siasa wapo attached kwake Kiimani pia.hawa wanamfahamu Maalim na kumfuata kihistoria. Siasa za Zanzibar ni za kihistoria. Atakapoondoka Maalim wale wafuasi hawawezi msikiliza zitto.watataka wampate Maalim mwingine Mpemba mwenye Asili ya Maalim ili awapeleke nchi ya ahadi.

Hivyo nashauri zitto uwe makini...achana na vijembe. Sasa fikiria jinsi mtakavyoishi ndani ya nyumba moja na maalim. Hakuna kitu kigumu kwa mwanaume kuishi na mke mwenye uwezo mkubwa kuliko yeye.

Kuna siku unaweza amka hao watu unaowaona usiwaone tena. Kwa wakati huu usifanye sherehe...kaa chini fikiria namna gani utaweza ku utilize uwepo wao for the time being.ila usitumie nafasi hiyo kuwananga wenzio. You will be surprised one day.

Nasisitiza Maalim angeenda chama chochote kile iwe Chauma, DP, UDP, NCCR Mageuzi, CDM n.k wale wananchi wafuasi wake waaminifu wangemfuata bila shaka. Wale wanabaki kuwa ni Mali ya Maalim Seif popote atakapokuwepo.

Usijivunie hao...maana si matunda ya ACT , si kwa kupenda sera za ACT. Si kwa kukupenda wewe. Na unaweza kuta mamia hawakufahamu... Hao ni Matunda ya Seif kuhamia ACT. sasa utaishi nao vipi ndilo unalopaswa kulifikiria.Jipange ndugu yangu...Seif ana nguvu yake na ana hulka zake.
 
Nlisoma post yako moja katika twitter ukiwa umeandika kwa mihemko ya furaha isiyo na kifani kuwa haijawahi kutokea watu zaidi ya 10000 wakachukua kadi kwa wakati mmoja.

Nakumbuka mdau mmoja alikukumbusha kitu...kuwa watu hao hawajaja ACT wamemfuata Maalim Seif. Ni waliokuwa CUF sasa kwa kuwa Maalim amehamia ACT nao wamemfuata.

Unapaswa uwe smart kuelewa wale si wanachama wa ACT. Wale ni wafuasi wa Maalim Seif. Kama Maalim angehamia CHAUMA pia wangeenda, kama angehamia UDP pia wangeenda na siku akitoka ACT nao watatoka.Maana yake nini?

Wewe zitto huna watu, huna nguvu, hawajakufuata wewe, hawajafuata Sera za Act. Seif ana nguvu atakuwa na nguvu kubwa nyuma yake kuliko wewe.

Sikatai wewe kushangilia maana una uhakika wa kupata wabunge huko zanzibar ambao walikuwa wa CUF lakini kaa chini fikiria kimakini.je kama seif hayupo utakuwa na nini?

Mwaka 2015 kuna vijana wengi walijiunga na CDM wakija na Lowassa.hawa walikuwa na imani ya kisiasa na Lowassa na Mageuzi yaliyojawa na chuki dhidi ya CCM. Walijiita Ulipo Tupo. Miaka Mitatu na nusu baadaye Lowassa anaondoka CDM hana nguvu kisiasa, kiushawishi ameshachoka.

Vijana wale ama watabaki CDM au wataamua kuachana na Siasa. Kwa Maalim ni tofauti. Watu walio na Maalim ni watu ambao wanamchukulia Maalim kama Mussa wao wa kuwapeleka Kaanani.

Ni watu ambao mbali na Siasa wapo attached kwake Kiimani pia.hawa wanamfahamu Maalim na kumfuata kihistoria. Siasa za Zanzibar ni za kihistoria. Atakapoondoka Maalim wale wafuasi hawawezi msikiliza zitto.watataka wampate Maalim mwingine Mpemba mwenye Asili ya Maalim ili awapeleke nchi ya ahadi.

Hivyo nashauri zitto uwe makini...achana na vijembe. Sasa fikiria jinsi mtakavyoishi ndani ya nyumba moja na maalim. Hakuna kitu kigumu kwa mwanaume kuishi na mke mwenye uwezo mkubwa kuliko yeye.

Kuna siku unaweza amka hao watu unaowaona usiwaone tena. Kwa wakati huu usifanye sherehe...kaa chini fikiria namna gani utaweza ku utilize uwepo wao for the time being.ila usitumie nafasi hiyo kuwanganga wenzio. You will be surprised one day.

Wasiwasi mkubwa kuna siku atamka hana chama. Wapemba watampindua.
 
Tatizo huyu Zitto mulimuita na kumtangaza ni msaliti,kwa sasa akipost kitu chochote kuijivunia mafanikio ya chama alichokiasisi munadhani anawananga. Hats slogan purpleisbright futureispurple munadhani ina lengo la kuifunika Sera mbadala.

Pamoja na chuki zako lakini umemshauri vizuri awe smart zaidi,hongera sana
 
Unaonekana mtu mwenye wivu wa siasa kali inaonekana hapo uliposema huwezi ishi na mke mwenye uwezo zaidi yako.
Pili watu hawajamfuata Maalim kwa upemba wake, nakutajia orodha ya wapemba :

- DR Ali Mohd Shein (CCM)
- Suleiman Khalifa (cuf lipumba)
- Hamad Rashid (adc)

Mbona watu hawakuwafuata hao ? Mungu atuekee Maalim, lakini akiondoka itategemea na viongozi wataobaki ndani ya act na sera au misimamo yao dhidi ya znz.

Ukiwa na mtazamo kama wa lukuvi hakuna mzenji ataekuunga mkono nasi pia binadaamu si wanyama pori!
 
Kwa Mara ya kwaza umepost point,

Nlisoma post yako moja katika twitter ukiwa umeandika kwa mihemko ya furaha isiyo na kifani kuwa haijawahi kutokea watu zaidi ya 10000 wakachukua kadi kwa wakati mmoja.

Nakumbuka mdau mmoja alikukumbusha kitu...kuwa watu hao hawajaja ACT wamemfuata Maalim Seif. Ni waliokuwa CUF sasa kwa kuwa Maalim amehamia ACT nao wamemfuata.

Unapaswa uwe smart kuelewa wale si wanachama wa ACT. Wale ni wafuasi wa Maalim Seif. Kama Maalim angehamia CHAUMA pia wangeenda, kama angehamia UDP pia wangeenda na siku akitoka ACT nao watatoka.Maana yake nini?

Wewe zitto huna watu, huna nguvu, hawajakufuata wewe, hawajafuata Sera za Act. Seif ana nguvu atakuwa na nguvu kubwa nyuma yake kuliko wewe.

Sikatai wewe kushangilia maana una uhakika wa kupata wabunge huko zanzibar ambao walikuwa wa CUF lakini kaa chini fikiria kimakini.je kama seif hayupo utakuwa na nini?

Mwaka 2015 kuna vijana wengi walijiunga na CDM wakija na Lowassa.hawa walikuwa na imani ya kisiasa na Lowassa na Mageuzi yaliyojawa na chuki dhidi ya CCM. Walijiita Ulipo Tupo. Miaka Mitatu na nusu baadaye Lowassa anaondoka CDM hana nguvu kisiasa, kiushawishi ameshachoka.

Vijana wale ama watabaki CDM au wataamua kuachana na Siasa. Kwa Maalim ni tofauti. Watu walio na Maalim ni watu ambao wanamchukulia Maalim kama Mussa wao wa kuwapeleka Kaanani.

Ni watu ambao mbali na Siasa wapo attached kwake Kiimani pia.hawa wanamfahamu Maalim na kumfuata kihistoria. Siasa za Zanzibar ni za kihistoria. Atakapoondoka Maalim wale wafuasi hawawezi msikiliza zitto.watataka wampate Maalim mwingine Mpemba mwenye Asili ya Maalim ili awapeleke nchi ya ahadi.

Hivyo nashauri zitto uwe makini...achana na vijembe. Sasa fikiria jinsi mtakavyoishi ndani ya nyumba moja na maalim. Hakuna kitu kigumu kwa mwanaume kuishi na mke mwenye uwezo mkubwa kuliko yeye.

Kuna siku unaweza amka hao watu unaowaona usiwaone tena. Kwa wakati huu usifanye sherehe...kaa chini fikiria namna gani utaweza ku utilize uwepo wao for the time being.ila usitumie nafasi hiyo kuwanganga wenzio. You will be surprised one day.

Nasisitiza Maalim angeenda chama chochote kile iwe Chauma, DP, UDP, NCCR Mageuzi, CDM n.k wale wananchi wafuasi wake waaminifu wangemfuata bila shaka. Wale wanabaki kuwa ni Mali ya Maalim Seif popote atakapokuwepo.

Usijivunie hao...maana si matunda ya ACT , si kwa kupenda sera za ACT. Si kwa kukupenda wewe. Na unaweza kuta mamia hawakufahamu... Hao ni Matunda ya Seif kuhamia ACT. sasa utaishi nao vipi ndilo unalopaswa kulifikiria.Jipange ndugu yangu...Seif ana nguvu yake na ana hulka zake.
 
Elewa kuwa sisi wengine akili zetu tunazo na hatujawahi kushikisha kwa watu. Ni wendawazimu kufikiri kila mtanzania ni mwanachama wa chama flani.kuwa mwanachama ni kukosa akili. Na enjoy maisha vizuri pasipo kuwa mwanachama au mshabiki wa chama chochote.akili yangu nmeishikilia mwenyewe.

Tatizo huyu Zitto mulimuita na kumtangaza ni msaliti,kwa sasa akipost kitu chochote kuijivunia mafanikio ya chama alichokiasisi munadhani anawananga. Hats slogan purpleisbright futureispurple munadhani ina lengo la kuifunika Sera mbadala.

Pamoja na chuki zako lakini umemshauri vizuri awe smart zaidi,hongera sana
 
Sijui...sijapata nafasi ya kuangalia sura ya Maalim. Lakini nachojua kuwa Wanaomfuata Maalim wanamfuata kwa sababu za KIHISTORIA. Hakuna jingine. Na nikasema kwa Maalim ndo "POPOTE ALIPO WAO WATAKUWEPO" Mpaka akiondoka Duniani watatafuta Maalim mwingine.

Wnaomfuata Maalim hawamfuati kwa sababu ana sura nzuri, wanamfuata kwa sababu anawakilisha aspirations zao, ni jukumu la ACT kuwakilisha aspirations za wananchi.
Tofauti na Lowasa, Lowasa was for himself, maalim is for people
 
Mkuu, kwa zitto ni ngumu sana. Ana kiburi toka ndani...anaamini yeye ni bora kuliko wanaomzunguka,anaamini yeye aliumbwa kuongoza, anaamini he is very smart than others, anaamini yeye ndo yeye wengine...

Haya ndiyo yanayomfanya akose uungwaji mkono na watu wengi makini.angeweza kuwa humble, mtulivu na makini angefika mbali.kuna kitu umekitaja ambacho nacho ni tatizo kubwa sana kwa zitto.lingine ni lile suala la kuwa anafika bei. Hilo ni tatizo kubwa sana kwake.

GuDume, wewe ni bonge la political analyst hapa Bongo. Zitto akijifunza kujishusha na kuwa mnyenyekevu, muadilifu na mwenye msimamo, akaweka mbali udini atafika mbali sana.
Tatizo watu wengi hawamuamini na wanaona kama ni rahisi kumnunua.
Zitto tumia fursa hii kuwa prove wrong Watanzania.
 
GuDume ww lini uliwahi kumkubali zitto na ushakuja na maandishi hapa jf kuwa zitto ni kibaraka acha ungese kaposti mambo ya kijuma lukole huko jukwaa la mapenzi
 
40 Reactions
Reply
Back
Top Bottom