Ndugu zetu waliouliwa na polisi arusha wakumbukwe kama mashujaa wa taifa | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ndugu zetu waliouliwa na polisi arusha wakumbukwe kama mashujaa wa taifa

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by meddie, Jan 11, 2011.

 1. meddie

  meddie JF-Expert Member

  #1
  Jan 11, 2011
  Joined: Oct 21, 2010
  Messages: 413
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Napenda kutoa mwito kwa wachadema na wapenda amani wote kwamba hawa ndugu zetu waliouliwa polisi, wakumbukwe na tuwaenzi kama mashujaa wapiganaji dhidi ya ufisadi na ugandamizaji wa demokrasia ya kweli nchini TZ. Kama si ufisadi na kugandamizwa kwa haki ya kuwa na katiba tunayoitaka na viongozi tunaowakata wasingekufa!! Naomba pia tukumbe pia familia zao na watoto wao kwa hali na mali. Amina
   
Loading...