Ndugu zetu Kenya, Uganda, Rwanda na Burundi karibuni kwenye section ya MMU.

The Garang

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
1,126
2,000
Hali vipi wanajumuiya ya Afrika ya Mashariki.
Nipende kuwakaribisha ndugu zetu tajwa hapo juu, kuweza kujumuika nasi katika jukwaa la MMU (Mahusiano, Mapenzi na urafiki) ili tuweze kubadilishana mawazo kadhaa hususani katika mahusiano yetu kwa ujumla.

Tunahitaji kuona mkileta hadith za bibi zenu:):) wakiwachocha, labda pengine tunaweaza kuja oa huko.

hi to all EAC members,
I would like to welcome your participation in MMU platform of Jamiifrorums, i & we would be pleased seeing u there giving your advice, opinions, ideas on ongoing matter concerning love, relationship and friendship.

When you log in into your JF acc just navigate JF Social Forums (Lounge) then navigate and click Mahusiano, Mapenzi na urafiki.
Hatutawacheka na kiswahili yenu mbovu:D:D:D:D:D
 
mutup

Senior Member
Jul 28, 2021
197
250

kuchocha maana yake ni nini
hili neno nalisikiaga sana lakini sielewagi
 
muggyen

JF-Expert Member
Jan 1, 2014
335
250
kuchocha maana yake ni nini
hili neno nalisikiaga sana lakini sielewagi
Kuchocha ni kama kudanganyana hasa kwa maneno kwa lengo la mtu unayemwambia aharibikiwe. Mfano mtu anaweza kusema Mimi narudi kwa bibi yangu (wife) saa kumi asubuhi, lengo nawe uige uharibikiwe while ikifika tu saa 12 tayari yupo nyumbani. So kwa kauli kama hio, tunasema anakuchocha.
 
The Garang

JF-Expert Member
Jan 16, 2018
1,126
2,000
Kuchocha ni kama kudanganyana hasa kwa maneno kwa lengo la mtu unayemwambia aharibikiwe. Mfano mtu anaweza kusema Mimi narudi kwa bibi yangu (wife) saa kumi asubuhi, lengo nawe uige uharibikiwe while ikifika tu saa 12 tayari yupo nyumbani. So kwa kauli kama hio, tunasema anakuchocha.
Thanks for reply
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom