Ndugu zanguni, ukipewa lift usitoe tena changamoto kwa aliyekupa mpaka akajuta

Watu nadhani wakienda vijijini wanakula mambo mengi mengi sana. Kilichonishangaza dada aliamua tu kujiachia wala hakutaka jibana. Of course nami nikiwa peke yangu huwa najiachia tu kwa uhuru
Sasa mbona umekuja kumsema mwenzako hapa kama maana utofauti wenu ni mdogo tu; Ye ameamua kuwa huru mbele yenu, wewe unakuwa huru ukiwa peke yako 😆😆
 
Umekwepa masela wangapi hadi kumfikia huyo mjambaji, gari likibuma unawatafuta hao hao masela, kweli wewe chizi maarifa...
 
Kama ulishindwa kumshusha huyo dada ambaye aliharibu ndani ya gari utawezaje kumshusha mtu kwakuwa mnabishana mambo ya Messi na Ronaldo?
 
Ukiona demu anajamba waziwazi ni ishara ya kujilinda hataki mahusiano nawe. Hapo hutompigia simu tena abadani. Amekuweza.
 
Back
Top Bottom