Ndugu zanguni, ukipewa lift usitoe tena changamoto kwa aliyekupa mpaka akajuta

andoza

JF-Expert Member
Nov 26, 2018
2,125
2,000
Jana nmetoka zangu mkoa kurudi Jijini nikiwa na jamaa yangu katika mizunguko ya maisha.

Kufika Chalinze tukakuta watu kadhaa wakisubiri usafiri wa kuja Dar. Nlimwona dada mmoja mzuri amependeza na amekaa kwa unyonge sana, zaidi alikuwa na kabag tu kadogo.

Akasimamisha gari, nikasimama mbele yake akaja anakimbia. Akauliza tsh ngapi mpaka Dar. Nilimwambia apande tu nampa lift akasita kidogo but akapanda.

Tukatambuana kwa majina na nikamwuliza anaelekea Dar wapi akajibu Kijitonyama. Akasema alikuja Chalinze juzi kusalimia ndugu na shamba lake.

Huyu dada baadaye alianza kuwa anatoa sana gesi mara ya kwanza nilimtizama rafiki yangu naye akanitizama tukiulizana kwa macho kuwa ni wewe. Jamaa akakataa, na kweli namfahamu jamaa asingeweza fanya hivyo.

Basi njiani tuliendelea kuwa na wakati mgumu sana. Sielewi dada mrembo alikula nini huko Chalinze.

Na bahati mbaya tulikuwa tumefunga vioo tumewasha AC ikawa inabidi sometimes tufungue madirisha.

Kuna kipindi nikawa nahisi au amekunya mle ndani! Maana si kwa changamoto ile na mateso ambayo aliamua kutupatia.

Mbaya zaidi akawa analala sometimes anakoroma kinyama. Hapo sasa ndo akawa anajamba tu kwa sauti.

Tukaamua kushusha madirisha maana tulianza kufikia hatua ya kulewa kutokana na gesi ile ya ukaa.

Tumekuja mshusha Ubungo amechoka sana utadhani yeye alikuwa anasukuma gari badala ya kuendeshwa. Akaomba tubadilishane namba za simu na haraka akatoa biznez card yake.

Tumeachana ila ilibidi gari nilipitishe car wash maana sikuwa naona kama tumebaki salama mle ndani. Nikawaza hali hii mdau unapopewa lift ni muhimu kuzingatia. Usije kuwa kero kwa aliyekupa lift. Kuna wale wengine akipewa lift anabadilisha na nyimbo, radio stations, anaongeza au punguza sauti.

Wengine kama walikuta umewasha AC kiasi fulani wanaongeza au punguza. Yaani ujuaji unakuwa mwingi kwenye lift. Kama haitoshi anaweza hata kukuelekeza upite njia gani.

Ukipewa lift tulia. Weka mikono yako kama unataka kupokea sacrament au unafanya maombi kisha elekeza macho yako mbele ukiwa umefunga mkanda.

Usipende kudakia maongezi. Wewe sikiliza na ujibu ukiulizwa tu. But pia kuwa makini ujue aliyekupa lift anashabikia team gani au chama gani.usije kuwa chana pinzani au team pinzani na aliyekupa lift.

Pia epuka kuwa msemaji mkuu. Naweza kukushusha kama unakuwa mjuvi sana.
Wewe huna gari.Lift tu mpaka umuandike JF.Kweli Fukara akipata ataandika hadi JF ila umnifurahisha kwani ni comedy yangu ya kwanza kwa 2021.Kapicha kake ingependeza zaidi
 
Yoda

JF-Expert Member
Jul 22, 2018
10,892
2,000
Kuna jamaa yangu yeye ukimpa lifti mkikaribia viwanja vya bata au sehemu ina mademu zake basi atahakikisha anakutoa ili aendeshe yeye, na kiumri ni mkubwa kuliko mimi maana ningesema ni utoto.

Kwakua nilishamjua huwa namuachia nakaa nyuma.
 
Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
4,587
2,000
Wewe huna gari.Lift tu mpaka umuandike JF.Kweli Fukara akipata ataandika hadi JF ila umnifurahisha kwani ni comedy yangu ya kwanza kwa 2021.Kapicha kake ingependeza zaidi
andoza wewe ukisema sina gari na ninalo haiondoi ukweli kuwa ninalo. Kama ambavyo ngesema sina na ukasema ninalo hiyo isingenipa gari. Hivyo suala la wewe kuamini au kutokuamini halina athari yoyote kwangu ๐Ÿ˜
 
Chizi Maarifa

JF-Expert Member
Jul 29, 2013
4,587
2,000
Nimecheka, na business card anayo na anaachia ushuzi,mbele za watu, uuuuwiii
Watu nadhani wakienda vijijini wanakula mambo mengi mengi sana. Kilichonishangaza dada aliamua tu kujiachia wala hakutaka jibana. Of course nami nikiwa peke yangu huwa najiachia tu kwa uhuru sana.
 
Mamndenyi

JF-Expert Member
Apr 11, 2011
32,210
2,000
Watu nadhani wakienda vijijini wanakula mambo mengi mengi sana. Kilichonishangaza dada aliamua tu kujiachia wala hakutaka jibana. Of course nami nikiwa peke yangu huwa najiachia tu kwa uhuru sana.
Au maskini walimfanyia vitu vibaya.

Mi nina aibu sana mbele za watu ssiwezi fanya hivyo,
 
Mtukutu wa Nyaigela

JF-Expert Member
Sep 4, 2018
3,454
2,000
Jana nmetoka zangu mkoa kurudi Jijini nikiwa na jamaa yangu katika mizunguko ya maisha.

Kufika Chalinze tukakuta watu kadhaa wakisubiri usafiri wa kuja Dar. Nlimwona dada mmoja mzuri amependeza na amekaa kwa unyonge sana, zaidi alikuwa na kabag tu kadogo.

Akasimamisha gari, nikasimama mbele yake akaja anakimbia. Akauliza tsh ngapi mpaka Dar. Nilimwambia apande tu nampa lift akasita kidogo but akapanda.

Tukatambuana kwa majina na nikamwuliza anaelekea Dar wapi akajibu Kijitonyama. Akasema alikuja Chalinze juzi kusalimia ndugu na shamba lake.

Huyu dada baadaye alianza kuwa anatoa sana gesi mara ya kwanza nilimtizama rafiki yangu naye akanitizama tukiulizana kwa macho kuwa ni wewe. Jamaa akakataa, na kweli namfahamu jamaa asingeweza fanya hivyo.

Basi njiani tuliendelea kuwa na wakati mgumu sana. Sielewi dada mrembo alikula nini huko Chalinze.

Na bahati mbaya tulikuwa tumefunga vioo tumewasha AC ikawa inabidi sometimes tufungue madirisha.

Kuna kipindi nikawa nahisi au amekunya mle ndani! Maana si kwa changamoto ile na mateso ambayo aliamua kutupatia.

Mbaya zaidi akawa analala sometimes anakoroma kinyama. Hapo sasa ndo akawa anajamba tu kwa sauti.

Tukaamua kushusha madirisha maana tulianza kufikia hatua ya kulewa kutokana na gesi ile ya ukaa.

Tumekuja mshusha Ubungo amechoka sana utadhani yeye alikuwa anasukuma gari badala ya kuendeshwa. Akaomba tubadilishane namba za simu na haraka akatoa biznez card yake.

Tumeachana ila ilibidi gari nilipitishe car wash maana sikuwa naona kama tumebaki salama mle ndani. Nikawaza hali hii mdau unapopewa lift ni muhimu kuzingatia. Usije kuwa kero kwa aliyekupa lift. Kuna wale wengine akipewa lift anabadilisha na nyimbo, radio stations, anaongeza au punguza sauti.

Wengine kama walikuta umewasha AC kiasi fulani wanaongeza au punguza. Yaani ujuaji unakuwa mwingi kwenye lift. Kama haitoshi anaweza hata kukuelekeza upite njia gani.

Ukipewa lift tulia. Weka mikono yako kama unataka kupokea sacrament au unafanya maombi kisha elekeza macho yako mbele ukiwa umefunga mkanda.

Usipende kudakia maongezi. Wewe sikiliza na ujibu ukiulizwa tu. But pia kuwa makini ujue aliyekupa lift anashabikia team gani au chama gani.usije kuwa chana pinzani au team pinzani na aliyekupa lift.

Pia epuka kuwa msemaji mkuu. Naweza kukushusha kama unakuwa mjuvi sana.
hongera kwa kumiliki gari mkuu
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom