Najiandaa kufumania kesho au keshokutwa. Nawaza adhabu mbalimbali za kutoa

Huyu anayemtongoza mke wangu kila siku alikuwa jamaa yangu wa karibu, nilisoma naye O-Level kisha nikaja fanya naye kazi. Alikuwa karibu hivyo haikuwa ngumu mimi kumpa namba ya mke wangu.

Hasa sababu mke wangu ana wivu sana so sometimes nikitaka kutoka namwambia jamaa ampigie wife amwombe kuwa tunatoka wote.

Jamaa alianza kumsifia sifia wife kama utani baadaye nikakata kabisa ukaribu naye nilipoona anazidi sana kutaka ukaribu. Mwishowe akaanza mwambia wife kuwa mimi nina diversions nyingi sana, si mwaminifu.

Akaendelea na kuanza tuma texts za mapenzi n.k wife akawa ananionesha. Sasa ameomba kabisa game na anaomba iwe kesho au kesho kutwa yeye atakuwa free aende na wife popote atakapo.

Nimemwambia wife akubali, wamepanga kila kitu na jamaa katuma 50,000 ya uber ili wife asitumie gari yake.

Sasa nawaza adhabu ya kwenda mpa jamaa. Maana ile 50,000 yake na nyingine nitakodisha watu watatu. Tutaenda sehemu hiyo, nataka nimfanye kitu ambacho yaani akija sikia kuwa mwanamke ameolewa awe anakimbia huku analia kabisa.

Sitaki polisi wala nini, naombeni msaada wenu. Adhabu ya kufaa kabisa. Sitaki muua, nataka aishi akijutia jambo hilo milele. Nyie si mnaona sisi tuliooa hatuna maana? Basi haina shida...wallah atasimulia maana ntamwachia ulimi ili aweze simulia wenzie.

Nisaidieni ushauri wa Adhabu, sitaki maneno ya sijui polisi, sijui ushauri nasaha. Nataka Ushauri wa adhabu ya kufaa hasa ili iwe fundisho na kwa wengine.
Sehemu za kujifunza uvumilivu wewe ndo unajifunza ususuavu.

Kumuoa mwanamke haina maana kuwa hatotongozwa na wengine,kuoa mwanamke maana yake haruhusiwi kuolewa na wengine kwa sasa ni mkeo.

Achana nae,maisha haya bwana we chukulia simple tu
 
Ok

Adhabu ya kumfaa mwache aende zake, mrudishie na 50k yake...

Mtwae mkeo mrudi nyumbani

Walahi atahama mtaa. Na utakuwa mshindi na amani tele.
Hizi zinaitwa Mind games na huwa zinaumiza sana kuliko maumivu ya mwili. Heko, umewaza vyema sana.
 
Bravoooo hii story ipo mumuhumu, jamaa gategesh amfumanie jamaa na mkewe, jamaa kawataimu kazima simu ya mwanamke na kubadili uelekeo
naomba niitafute tuwawekee hawa wanaume wanaojidai vifua mbele, mke analiwa na uchungu unaongezeka
cc@Komeo Lachuma
Leta uzi leta uzi Mkuu, haki ya nani hii ni hatari.
 
Huyu anayemtongoza mke wangu kila siku alikuwa jamaa yangu wa karibu, nilisoma naye O-Level kisha nikaja fanya naye kazi. Alikuwa karibu hivyo haikuwa ngumu mimi kumpa namba ya mke wangu.

Hasa sababu mke wangu ana wivu sana so sometimes nikitaka kutoka namwambia jamaa ampigie wife amwombe kuwa tunatoka wote.

Jamaa alianza kumsifia sifia wife kama utani baadaye nikakata kabisa ukaribu naye nilipoona anazidi sana kutaka ukaribu. Mwishowe akaanza mwambia wife kuwa mimi nina diversions nyingi sana, si mwaminifu.

Akaendelea na kuanza tuma texts za mapenzi n.k wife akawa ananionesha. Sasa ameomba kabisa game na anaomba iwe kesho au kesho kutwa yeye atakuwa free aende na wife popote atakapo.

Nimemwambia wife akubali, wamepanga kila kitu na jamaa katuma 50,000 ya uber ili wife asitumie gari yake.

Sasa nawaza adhabu ya kwenda mpa jamaa. Maana ile 50,000 yake na nyingine nitakodisha watu watatu. Tutaenda sehemu hiyo, nataka nimfanye kitu ambacho yaani akija sikia kuwa mwanamke ameolewa awe anakimbia huku analia kabisa.

Sitaki polisi wala nini, naombeni msaada wenu. Adhabu ya kufaa kabisa. Sitaki muua, nataka aishi akijutia jambo hilo milele. Nyie si mnaona sisi tuliooa hatuna maana? Basi haina shida...wallah atasimulia maana ntamwachia ulimi ili aweze simulia wenzie.

Nisaidieni ushauri wa Adhabu, sitaki maneno ya sijui polisi, sijui ushauri nasaha. Nataka Ushauri wa adhabu ya kufaa hasa ili iwe fundisho na kwa wengine.
Mpe bini/mke utakaemfunia, simple effective and lethal. Zaidi ukuuwa utafia jela. Ukisema ufanye unyama sijuwi wa aina gani your just wasting your time and more importantly money..
 
Kuna member mmoja hapa jf aliwahi kuweka kisa kama chako cha kuandaa fumanizi kumbe baharia alikuwa mjanja, alibadiri kiwanja na gari pia simu ikazimwa maana alijua nafuatiliwa....kilichofuatia walikuta manyoya na vilio vya "...Baba Junior umefanya nini sasa, umechelewa!...."
Naomba kuuliza,

Hivi mfano ndio jamaa kazima simu na kubadili uelekeo ghafla, kule mwanamke hawezi kukataa au ndio kashaelewa kibra
 
Jamaa atapanga wakutane sehem flan but wakikutana tu anakula kuna hotel nyingine sijui utafanyaje mkeo ataliwa na hutofanya chochote kuepusha hayo mkataze wife wako
 
Mtafute jamaa kabla ya kesho kwa kuwa ni mwanao unajua anapoishi,anapofanya starehe n.k mrudishie hela yake kisha mwambie next time "atapasuka", kisha acha utoto, ukitoka aga kwa mkeo ninaenda bar nitachelewa kurudi

Na mkeo ukimkorofisha twna ataliwa na huyo rafiki yako...kuwa makini
 
Mwanangu kwahiyo kumbe umekuja kujidai huku kuwa utanifumania na shemela? Isee hutaweza kwanza nishamfumua kitambo na game hiyo nitaipiga bila wewe kujua utaambulia manyoya tu
 
hii ni post ya jana na mm nimereply leo...
so tunaomba update ndugu,tayal ushamla tigo mtu ama bado?
Huyu anayemtongoza mke wangu kila siku alikuwa jamaa yangu wa karibu, nilisoma naye O-Level kisha nikaja fanya naye kazi. Alikuwa karibu hivyo haikuwa ngumu mimi kumpa namba ya mke wangu.

Hasa sababu mke wangu ana wivu sana so sometimes nikitaka kutoka namwambia jamaa ampigie wife amwombe kuwa tunatoka wote.

Jamaa alianza kumsifia sifia wife kama utani baadaye nikakata kabisa ukaribu naye nilipoona anazidi sana kutaka ukaribu. Mwishowe akaanza mwambia wife kuwa mimi nina diversions nyingi sana, si mwaminifu.

Akaendelea na kuanza tuma texts za mapenzi n.k wife akawa ananionesha. Sasa ameomba kabisa game na anaomba iwe kesho au kesho kutwa yeye atakuwa free aende na wife popote atakapo.

Nimemwambia wife akubali, wamepanga kila kitu na jamaa katuma 50,000 ya uber ili wife asitumie gari yake.

Sasa nawaza adhabu ya kwenda mpa jamaa. Maana ile 50,000 yake na nyingine nitakodisha watu watatu. Tutaenda sehemu hiyo, nataka nimfanye kitu ambacho yaani akija sikia kuwa mwanamke ameolewa awe anakimbia huku analia kabisa.

Sitaki polisi wala nini, naombeni msaada wenu. Adhabu ya kufaa kabisa. Sitaki muua, nataka aishi akijutia jambo hilo milele. Nyie si mnaona sisi tuliooa hatuna maana? Basi haina shida...wallah atasimulia maana ntamwachia ulimi ili aweze simulia wenzie.

Nisaidieni ushauri wa Adhabu, sitaki maneno ya sijui polisi, sijui ushauri nasaha. Nataka Ushauri wa adhabu ya kufaa hasa ili iwe fundisho na kwa wengine.
 
Toa mchango wako adhabu gani itolewe, hayo mengine tuachie wanaume ndio sisi
Sina huo mda wa kutoa adhabu Mimi mtajuana wewe kwa kushindwa kuwaridhisha wanawake wenu nakuja kulia Lia humu
 
kweli kabisa huu mchezo wa kutoka nje haujaanza karne hii
wanaume tujirekebishe, juzi nilimpeleka jamaa yangu kwa gari kumfumaniwa mke kwa jamaa mchovu tu,
mke alitufukuza tukiwa na mama mzazi wa huyo mke
sasa jiulize kwanini mke hataki kurudi ina maana jamaa hamtoshelezi
hebu tusubiri majibu ya Komeo lachuma km kashinda au kashindwa
 
Ushauri tu,usiruhusu mkeo atangulie eneo la tukio (lodge) wakibadili venue utakufa kwa presha
 
kuna jamaa yangu alishawahi kufanya huu upuuzi ,tena mkewe alikuwa anatongozwa na mshkaji wetu ,jamaa akakubaliana na mkewe amkubalie mshkaji wapange wakutane mahali ,na kweli wakakubalina kukutana sehemu. ,huku mke wa jamaa akiwasiliana na mumewe na kumweleza kila hatua ,na jamaa akawa anafatilia nyuma ,.
mwisho wa siku jamaa alingia gest na mke wa jamaa yaani bado kidogo amle maana mke akawa ana lalamika unachelewa na jamaa alishaanza vurugu za kumchojoa nguo

haya mambo mkuu usijaribu maana utamweka mkeo kwenye risk kubwa ya kutafunwa maana hujui upande wa pili umejipangeje hasa ,
 
Wee jamaa una matatizo katika mfumo wako was kufikiri.In kitu gani kinakufanya ufikiri kuwa huyo jamaa hajaandaa mfumo wa kujilinda chochote kikitokea?
Hiii imetokea huku kigoma wiki chache zilizopita huku kwetu.Askari aliyeambatana na JPM kwenye msafara wa kampeni alikuwa anachati na ex wake.Baada ya kufika akamwambia achukue boda amkute lodge x ili wakumbushie yao.Boda aliyembeba mke wa mtu baada ya kumfikisha akaenda kumtonya mme wake.Mme akakurupuka na upanga akapanda ile ile bodaboda na kumfikisha alipoachwa mke. Mme akalazimisha mpaka ndani na kujua chumba alipo mke. Aliingia na upanga, katika pulukushani akamkata kidogo mke ila yeye akalambwa risasi ya kifua na kufia hapo.Bodaboda aliyempeleka naye akala risasi ila hakufa.Mke na mgoni wake wako ndani sasa huku wakisubiri hatima ya kesi yao ya mauaji.
Wewe unadhani huyo jamaa yako atakuwa anakuangalia tuu wakati unamtendea uliyopanga?Fikiri mara mbili.Play it safe.
 
Huyu anayemtongoza mke wangu kila siku alikuwa jamaa yangu wa karibu, nilisoma naye O-Level kisha nikaja fanya naye kazi. Alikuwa karibu hivyo haikuwa ngumu mimi kumpa namba ya mke wangu.

Hasa sababu mke wangu ana wivu sana so sometimes nikitaka kutoka namwambia jamaa ampigie wife amwombe kuwa tunatoka wote.

Jamaa alianza kumsifia sifia wife kama utani baadaye nikakata kabisa ukaribu naye nilipoona anazidi sana kutaka ukaribu. Mwishowe akaanza mwambia wife kuwa mimi nina diversions nyingi sana, si mwaminifu.

Akaendelea na kuanza tuma texts za mapenzi n.k wife akawa ananionesha. Sasa ameomba kabisa game na anaomba iwe kesho au kesho kutwa yeye atakuwa free aende na wife popote atakapo.

Nimemwambia wife akubali, wamepanga kila kitu na jamaa katuma 50,000 ya uber ili wife asitumie gari yake.

Sasa nawaza adhabu ya kwenda mpa jamaa. Maana ile 50,000 yake na nyingine nitakodisha watu watatu. Tutaenda sehemu hiyo, nataka nimfanye kitu ambacho yaani akija sikia kuwa mwanamke ameolewa awe anakimbia huku analia kabisa.

Sitaki polisi wala nini, naombeni msaada wenu. Adhabu ya kufaa kabisa. Sitaki muua, nataka aishi akijutia jambo hilo milele. Nyie si mnaona sisi tuliooa hatuna maana? Basi haina shida...wallah atasimulia maana ntamwachia ulimi ili aweze simulia wenzie.

Nisaidieni ushauri wa Adhabu, sitaki maneno ya sijui polisi, sijui ushauri nasaha. Nataka Ushauri wa adhabu ya kufaa hasa ili iwe fundisho na kwa wengine.
nenda kamuulie mbali huyo mwanaharamu funga kwenye kiroba katupe mto ruvu case closed. Si umeomba ushauri usitetemeke miguu mwanaume.
 
hao watu watatu umewakodi wa nini? alaf elf 50 aliyotuma mwenzio ndo unakodia watu kweli? pia kwakuwa ndo jamaa anataka game, mpigie mwambie aache hizo(atakuelewa zaidi) kuna leo na kesho umemkodia watu watatu kwa ajili gani? ww huyo demu si ulimtoa kwa mtu ndo ukaoa?? ulikodiwa watu wangapi? unalipa kisasi???
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom